msondomba
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,895
- 2,410
inategemea na tamthilia mkuu. mm nafuatilia kwa sasa Paris has fallen na From season 3 hatari...Habari za muda huu waungwana.
Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana.
Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki-musculine hivi. Kwa mwanaume limekaa sana kidada na kimama mama hivi.
Hebu fikria Baba wa familia unagombea rimoti na watoto au mkeo kwa ajili ya tamthilia.
Mimi naona kama haijakaa sawa. Sijui nyinyi wenzangu maana kila mtu na mtazamo wake.