Sasa hivi Kuna moja naifatilia Azam TV inaitwa snowfallUkweli mtupu, kuna vitu vipo kike kike Sana! Tamthilia za kiswahili,za kutafsiri za Azam, comedies za kina joti, na upuuzi mwingine,
Mwanaume fatilia siasa, uchumi, au, movie za kibabe, Den of thieves, Night has fallen!
Maaculinity ya namna hii imebakiza hatua chache kuingia kwenye ushoga.Watu wa MUSCULINITY wanadai haijakaa poa
😂😂😂😂 Vijana wengi wa kiume mna ujinga mwingi sana. Kuogopa mende na panya au nyoka kunahusiana vipi??Asilimia kubwa kutokana na michango ya wadau nimegundua wakina nani wanaogopa Mende na Panya na wA wale specialist wa kuuwa Nyoka mtaani haya vita viendelee.
Sawa kijana wa kike nimekuelewa ila kaka zako waoga waoga ndo hawa wanaaminishana ujinga eti watu wakatae ndoa huwezi kuwa mwanaume shabab alafu uogope mende unashinda kwenye kideo eti unafuatilia tamthilia ili ugundue nini?😂😂😂😂 Vijana wengi wa kiume mna ujinga mwingi sana. Kuogopa mende na panya au nyoka kunahusiana vipi??
Inabidi tujitahidi kua open minded, tusizifunge akili zetu kwa story za vijiweni.
Ndio maana mnakufa mapema ili kuonesha ushababi msiokua nao.Sawa kijana wa kike nimekuelewa ila kaka zako waoga waoga ndo hawa wanaaminishana ujinga eti watu wakatae ndoa huwezi kuwa mwanaume shabab alafu uogope mende unashinda kwenye kideo eti unafuatilia tamthilia ili ugundue nini?
We endeleA kuangalia nani kakukataza ila nilichosema ni ukweli we kula chips yai tena kwa mkono wa shoto hata wakina anti naniliu kunaniliwa hakuwaondolei uwanaume wAo na kuwA wanawake kwa hiyo hata wewe ukiamua kufanya Tabia zako kike haitokuondolea Uwanaume wako utabaki na uwanaume wAko za kuning'inia zitakuwepo fimbo itakuwepo wala usiogope we endelea mkuu.Ndio maana mnakufa mapema ili kuonesha ushababi msiokua nao.
Dunia ishabadirika muda mrefu sana ninyi bado mnaishi zama za babu zenu kuua nyoka na mende, unaishi wapi huko mnakozungukwa na mijoka na mende??
Kua smart, sio miguvu ili kuprove uanaume, kuangalia tamthilia hakumuondelei mtu uanaume wake.
Kuna watu hawaangalii kabisa vipindi vya tv, kuna wasiosikiliza kabisa redio, kuna wasiotumia social networks kabisa, mwingine atakwambia usipoangali horror movies wewe sio mwanaume and the list goes on..
Ni chaguo la mtu wala haihusiani na jinsia.
Nakula chips yai atleast kilasiku. Wewe endelea kushikilia ujinga.We endeleA kuangalia nani kakukataza ila nilichosema ni ukweli we kula chips yai tena kwa mkono wa shoto hata wakina anti naniliu kunaniliwa hakuwaondolei uwanaume wAo na kuwA wanawake kwa hiyo hata wewe ukiamua kufanya Tabia zako kike haitokuondolea Uwanaume wako utabaki na uwanaume wAko za kuning'inia zitakuwepo fimbo itakuwepo wala usiogope we endelea mkuu.
Uko sawa mkuu. Mwanaume akiwa soft anategemea uwezeshwaji kama wa P Diddy.Saaana mwanaume kuwa soft ndo nyie mkitingwa unalia na kulalia kifua cha mwanaume mwenzio kufutwa machozi
❌❌❌❌❌❌❌❌Mtoa mada sijakuelewa, yaani ulitaka kuelimishwa ama ulitaka kujua maoni ya watu wengine, kama ni kuelimishwa basi usipingane na wanaokueleisha, na kusema ni maoni yako mwenyewe, jaribu pia kupokea maoni yetu na uelimike.
Kuna faida nyingi sana kwenye kuangalia tamthilia
Faida ni kwamba baadhi ya tamthilia zina mengi ya kujifunza na yanaweza kukusaidia kuelewa mambo fulani vizuri zaidi.
Mimi nikiwa site na nipo free usiku wifi la Bure nikuingia YouTube tu kuangalia action mwanaume anatoa damu hii ndo Raha yangu. Hizo za kwenye Tv Sina habar nazo kabisa.Inategemea na maudhui ya tamthiliya yenyewe. Mimi napenda za action au zile za kijasusi lakini naweka kwenye lap top naangalia mwenyewe kwa muda wangu. Ila zile za wakina othman bey kila saa 4 usiku uwe mbele ya tv siziwezi, zile za bongo magic huba n.k ndio siziwezi kabisaaa
Sijui kwanini nahisi na wewe upo kwenye hiyo kundi?!Habari za muda huu waungwana.
Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana.
Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki-musculine hivi. Kwa mwanaume limekaa sana kidada na kimama mama hivi.
Hebu fikria Baba wa familia unagombea rimoti na watoto au mkeo kwa ajili ya tamthilia.
Mimi naona kama haijakaa sawa. Sijui nyinyi wenzangu maana kila mtu na mtazamo wake.
Engonga AKA jembe la majembe😂NINA NINO