Mtazamo korofi: Mwanamume kufuatilia tamthilia naona kama haijakaa sawa hivi

Umetisha Sana we jamaaπŸ˜‚
 
Sio kuangalia tamthilia pekee yake ila mwanaume kukaa chini kuangalia Tv Ni Jambo la kusikitisha Sana.

Me I couldn't even remember the last time I watched Tv
 
Upumbavu huo......
Mimi nikikaa kwenye tv naangalia mpira. Mpira ukiisha sina business na TV
Wewe kama mimi tu. Ni either mpira au habari, basi. Huwa ninawashangaa sana wanaume wenye interest na tamthilia.
Lakini ndio hivyo. Watakwambia kila mtu na maisha yake πŸ˜…
 
IRIS,ATHENA,FUGITIVE PLAN B,JUMONG,EMPERIOR OF SEA,ILJMAE,DAE JO YEUNG, etc he hizo sio thamthilia?
Hazifai?
 
IRIS,ATHENA,FUGITIVE PLAN B,JUMONG,EMPERIOR OF SEA,ILJMAE,DAE JO YEUNG, etc he hizo sio thamthilia?
Hazifai?
Zile series zinazotanabaisha masculinity......hazina shida isipokuwa zile ambazo hasa wewe ukiziangalia kuna ka aibu kanakujia.....
 
Chipsi yai nakula ni tamu kwelikweli.

Mnaogopa vitu visivyopaswa kuogopwa, kama punga ni punga tu hata ule nguna dona harage la juzi, na kama ni rijali ni rijali tu bila kujali unachokula, kunywa au vipindi vya televisheni..

Unaogopa kula kiepe eti utakua legelege sijui utalegea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wabongo miyeyusho sana.
Ni mambo ya akili hayo sio vyakula.
 
Vyakula vina mchango mkubwa kwenye miili yetu.....vyakula bora vinaleta afya Bora....
 
Haina tofauti uwe wafuatilia series ya action au aje nyote mnakaa mnagombea remote na watoto bado suala la kugombea tv linabaki pale pale.
Vipi kama naangalia kwenye simu? Nagombania rimoti na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…