Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Umetisha Sana we jamaa😂Watu wanao angalia tamthilia Ni wale wenye mashati ya vitenge sare na magauni ya wake zao.
Wakienda kanisani wanakua Benet na wake zao. Hawana sauti mbele za wake zao. Wamepigwa marufuku kwenda bar. Hawali hotelini muda wa kazi, wakitoka kazini straight home na kupiga vistori na wake zao. Hawana michepuko Wala hawajui ladha ya single mazas.
Fedha zao wanatunziwa na wake zao. Mara nyingi utakuta wake zao hawaelewani na dada za mume au ndugu kwa ujumla.