Mtazamo korofi: Mwanamume kufuatilia tamthilia naona kama haijakaa sawa hivi

Ukweli mtupu, kuna vitu vipo kike kike Sana! Tamthilia za kiswahili,za kutafsiri za Azam, comedies za kina joti, na upuuzi mwingine,
Mwanaume fatilia siasa, uchumi, au, movie za kibabe, Den of thieves, Night has fallen!
Hakika ndugu mimi huwa napata ukakasi kwenye hilo lakini ndio hivyo kila mtu na mtizamo wake
 
Maisha sio complicated kihivyo mkuu...
Watu tulikuwa wapenzi sana wa Isidingo the Need. Tulikuwa die hard fans.
Hivi mkuu kuna tofauti gani ya mwanaume anayefuatilia huba na anayefuatilia series tuseme ya prison break? Wote si wanakaa kwenye TV?
By the way mimi si mpenzi wa tamthlia za kisw labda za kenya kidogo ila za tz sizielewag.
Mimi mambo yangu ni China man, Game of thrones, spartacus, Jumong yani zile series zenye plot za kizamani zamani ndio mambo yangu.
Sema nazo naona nazeeka napoteza interest siku hizi nimejikuta natazama zaidi documentary Youtube series na movies zinanifanya nashindwa kuconcentrate nikamaliza kutazama.
 
Kuna mdau hapo juu ametanabaisha series za kufuatilia....lakini yote kwa yote unabakia kuwa utashi wa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…