matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Nionavyo mimi
1: Kwa hatua ya sasa, anaweza kushambulia popote na chochote ndani ya Russia kupitia mgongo wa Ukraine bila Russia kumjibu moja kwa moja.
Mfano Mashambulizi na milipuko ya kigaidi ndani ya Russia kila kona.
2: Vita inaidhoofisha Ulaya huku US iliyo mbali kabisa na Vita ikiwa na nafasi ya kuendelea kwa kasi inayotaka.
3: Wakati anaishughulikia Russia kupitia Ukraine, amewawekea kitanzi China kwa Kibaraka wake Taiwan. Wakati wowote anaweza kuirudisha China zama za Mao kupitia Taiwan.
Kwa mtazamo wangu wa kawaida kabisa hii vita ni fursa kubwa kabisa kwa US kuitawala Dunia kisawaswa.
Unadhani nini kitakuwa matokeo ya Vita hii?