Kwa kuwa kenge amekuwa hasikii, kitakachofuata viwanja vya ndege vyote Ukraine vitalipuliwa, njia za reli, barabara za kuingia kwa majirani ambao ni maadui kwa Urusi kama Poland nk.
Pia kutakuwa na doria ya angani, majini na nchi kavu ili kisiingie kitu.
Volodymyr zelensky hatotoka wala hatoingia kenge yeyote kutoka kwa mataifa ya LGBTQ!
Mnaichukulia Russia poa poa tangu mwanzo ila kadri Russia inavyowabadilishia mziki mnapiga yowe eti dunia iungane na Ukraine.
Unachokiongea kina ukweli fulani ndani yake ila nikwambie tu kwamba, Urusi inawaachia NATO mwanya huo kwa kuwa inawamudu vizuri.
Pia Urusi inatafuta sababu ya kuweka maarufu ya safari zote ndani ya Ukraine kuanzia za majini angani na nchi kavu.
Zelensky ameomba sana mataifa ya magharibi yaweke no fly zone ili Urusi asiweze kufanya atakayo ila si kwamba wameogopa bali hawawezi kumzuia Mrusi! Wangeweza wangeshaweka kitambo sema ndio hivyo.
Hatua ifuatayo ni Urusi kuweka no fly zone ndani ya Ukraine.
Si hivyo tu bali ataweka marufuku ya ardhini na majini.
Tunywe mtori nyama tutazikuta