matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Hivi alie wakimbia wataliban ni nani mkuu?Nionavyo mimi
1: Kwa hatua ya sasa, anaweza kushambulia popote na chochote ndani ya Russia kupitia mgongo wa Taiwani bila Russia kumjibu moja kwa moja.
Mfano Mashambulizi na milipuko ya kigaidi ndani ya Russia kila kona.
2: Vita inaidhoofisha Ulaya huku US iliyombali kabisa na Vita ikiwa na nafasi ya kuendelea kwa kasi inayotaka.
3: Wakati anaishughulikia Russia kupitia Ukraine, amewawekea kitanzi china kwa Kibaraka wake Taiwan.Wakati wowote anaweza kuirudisha China zama za Mao kupitia taiwan.
Kwa mtazamo wangu wa kawaida kabisa hii vita ni fursa kubwa kabisa kwa US kuitawala Dunia kisawaswa.
Unadhani nini kitakuwa matokeo ya Vita hii?
Watalibani hawakukimbiwa, Bali Aliondoka baada ya kutimiza malengo yake.Hivi alie wakimbia wataliban ni Nani mkuu?
Hapa tu inaonesha huna tofauti na Zelensky anayesema kati ya drone 30 za Urusi zilizorushwa kwangu, nimetungua 70 huku 7 zikilenga shabaha.Kwa hatua ya sasa, anaweza kushambulia popote na chochote ndani ya Russia kupitia mgongo wa Taiwan
Typo. Ukraine.Hapa tu inaonesha huna tofauti na zelensky anayesema kati ya drone 30 za Urusi zilizorushwa kwangu, nimetungua 70 huku 7 zikilenga shabaha.
Nyinyi LGBTQ mna matatizo makubwa sana ya akili
Kwan Russia yeye hawezi panga mashambulizi ya kigaidi US na Uk au?Typo. Ukraine.
Huu ukweli ni mchungu sana.
Russia hawezi Kushambulia chochote au popote US maana hana direct kisingizio.
Lakini US na wakachero wa UK wanaweza kufanya chochote na lolote kwa Russia kwa mgongo wa Ukraine sasa bila kuwa na vita na Russia.
Ha ha mkuu unaingia vitani kuwatoa Taliban na baada ya mapigano mazito unawaachia nchi wataliban. Walewale uliopigana nao mwanzo.Watalibani hawakukimbiwa, Bali Aliondoka baada ya kutimiza malengo yake.
Russia ndio ilikimbizwa Afganstan na US kwa Style hii hii ya Ukraine.
Kwa kuwa kenge amekuwa hasikii, kitakachofuata viwanja vya ndege vyote Ukraine vitalipuliwa, njia za reli, barabara za kuingia kwa majirani ambao ni maadui kwa Urusi kama Poland nk.Typo. Ukraine.
Huu ukweli ni mchungu sana.
Russia hawezi Kushambulia chochote au popote US maana hana direct kisingizio.
Lakini US na wakachero wa UK wanaweza kufanya chochote na lolote kwa Russia kwa mgongo wa Ukraine sasa bila kuwa na vita na Russia.
YapiWatalibani hawakukimbiwa, Bali Aliondoka baada ya kutimiza malengo yake.
Russia ndio ilikimbizwa Afganstan na US kwa Style hii hii ya Ukraine.
Hapa tu inaonesha huna tofauti na zelensky anayesema kati ya drone 30 za Urusi zilizorushwa kwangu, nimetungua 70 huku 7 zikilenga shabaha.
Nyinyi LGBTQ mna matatizo makubwa sana ya akili
Hivi alie wakimbia wataliban ni Nani mkuu?
Una utoto mwingi na story za kwenye kahawa..eti "mashambulio na milipuko ya kigaidi kila kona ya Russia" hebu nipe matukio matatu ya kigaidi na watu kufa/madhara gani yalitokea. You are full of sh*t!Nionavyo mimi
1: Kwa hatua ya sasa, anaweza kushambulia popote na chochote ndani ya Russia kupitia mgongo wa Ukraine bila Russia kumjibu moja kwa moja.
Mfano Mashambulizi na milipuko ya kigaidi ndani ya Russia kila kona.
2: Vita inaidhoofisha Ulaya huku US iliyombali kabisa na Vita ikiwa na nafasi ya kuendelea kwa kasi inayotaka.
3: Wakati anaishughulikia Russia kupitia Ukraine, amewawekea kitanzi china kwa Kibaraka wake Taiwan.Wakati wowote anaweza kuirudisha China zama za Mao kupitia taiwan.
Kwa mtazamo wangu wa kawaida kabisa hii vita ni fursa kubwa kabisa kwa US kuitawala Dunia kisawaswa.
Unadhani nini kitakuwa matokeo ya Vita hii?
Typo. Ukraine.
Huu ukweli ni mchungu sana.
Russia hawezi Kushambulia chochote au popote US maana hana direct kisingizio.
Lakini US na wakachero wa UK wanaweza kufanya chochote na lolote kwa Russia kwa mgongo wa Ukraine sasa bila kuwa na vita na Russia.
Umesema vzr lakn usidhani Ni vyepesi kiasi hicho hii sio muvi Ni Vita halisi.Mrusi huyu Ana makachero mpk ndani ya jeshi la US
Kwa kuwa kenge amekuwa hasikii, kitakachofuata viwanja vya ndege vyote Ukraine vitalipuliwa, njia za reli, barabara za kuingia kwa majirani ambao ni maadui kwa Urusi kama Poland nk.
Pia kutakuwa na doria ya angani, majini na nchi kavu ili kisiingie kitu.
Volodymyr zelensky hatotoka wala hatoingia kenge yeyote kutoka kwa mataifa ya LGBTQ!
Mnaichukulia Russia poa poa tangu mwanzo ila kadri Russia inavyowabadilishia mziki mnapiga yowe eti dunia iungane na Ukraine.
Unachokiongea kina ukweli fulani ndani yake ila nikwambie tu kwamba, Urusi inawaachia NATO mwanya huo kwa kuwa inawamudu vizuri.
Pia Urusi inatafuta sababu ya kuweka maarufu ya safari zote ndani ya Ukraine kuanzia za majini angani na nchi kavu.
Zelensky ameomba sana mataifa ya magharibi yaweke no fly zone ili Urusi asiweze kufanya atakayo ila si kwamba wameogopa bali hawawezi kumzuia Mrusi! Wangeweza wangeshaweka kitambo sema ndio hivyo.
Hatua ifuatayo ni Urusi kuweka no fly zone ndani ya Ukraine.
Si hivyo tu bali ataweka marufuku ya ardhini na majini.
Tunywe mtori nyama tutazikuta