Mtazamo: Matokeo ya vita Urusi-Ukraine ni Marekani kuitawala Dunia kikamilifu

Umeona vizuri. Atatawala nyaja zote, kisiasa kiuchumi na kijeshi. Pia hadi sasa USA ndio taifa pekee linaloweza kuchagua nani Awe Maskini na nani awe Tajiri.
There is no too Big issue for America
Case closed.
Huwa napingana nawe kutokana na ushabiki ulionao badala ya uhalisia kwenye issue ya Ukraine na Russia. Lakini kwenye hili nakubaliana nawe, Case study ni North Korea vs South Korea economically
 
Ukweli mchungu na unauma sana
 
Ukraine ameshapewa go ahead kushambulia ndani ya urusi, hivyo usitegemee kwamba urusi hatoipatapata

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Umeona vizuri. Atatawala nyaja zote, kisiasa kiuchumi na kijeshi. Pia hadi sasa USA ndio taifa pekee linaloweza kuchagua nani Awe Maskini na nani awe Tajiri.
There is no too Big issue for America
Case closed.
Aichague sasa china iwe masikini!
 
Pale pentagon yale maafa yaliyotokea vipi unasemaje?
Au walikuwa wanafanya mazoezi USA.
 
Duh we hujui kila kitu baba .
September eleven Ni miaka 102 iliyopita au?
Kulikua na matukio ya kigaidi Mara kadhaa nchini humo mwaka 2018
 
Watalibani hawakukimbiwa, Bali Aliondoka baada ya kutimiza malengo yake.
Russia ndio ilikimbizwa Afganstan na US kwa Style hii hii ya Ukraine.
Umemjibu ipasavyo. Wasiojua wanadhani marekani ilikimbia Afghanistan. Us iliondoka kwa stlye wanayotaka taratibu na kupeana muda kabisa. Us waliondoka baada ya kutimiza malengo yao
 
Thamani ya Dola kuporomoka na kupoteza ushawishi wake Middle East na kupanda kwa Kasi ya matumizi ya Yuan na Ruble,huku Euro ikichukua nafasi ya Dola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…