Mtazamo: Matokeo ya vita Urusi-Ukraine ni Marekani kuitawala Dunia kikamilifu

Watalibani hawakukimbiwa, Bali Aliondoka baada ya kutimiza malengo yake.
Russia ndio ilikimbizwa Afganstan na US kwa Style hii hii ya Ukraine.
Soma kwa umakini hapo br. Yaani wakati Wamarekani deadline ya kuondoka Afghanistan ilikuwa Ni Aug 31 ,2021 Taliban waliendelea ku- reoccupy maeneo yaliokuwa chini ya NATO.
So kiufupi waafghanistan so watu wa kuzingatia mikataba na maadui.
Nb.
Wamarekani waliondoka kwa aibu nchini Afghanistan mnamo mwaka 2021 baada ya kupigana kwa miaka 20+ huku wakishindwa kutekeleza lengo la kuisambaratisha Taliban ambayo ndio iliyokabidhiwa Madaraka.
 
Wewe kaswali ukalale hakuna unachojua, yaani Russia aweke No Fly Zone ndani ya nchi nyingine mbona basi asimalize vita na mwaka unaenda kwisha.
 
Watalibani hawakukimbiwa, Bali Aliondoka baada ya kutimiza malengo yake.
Russia ndio ilikimbizwa Afganstan na US kwa Style hii hii ya Ukraine.
Embu rudia hii sentensi kwa maandishi makubwa, pengine atakuelewa huyu mbweha.
 
Acha mkuu, huyo UK hashikiki huko Ukraine. German na France nao ni wa moto mno. Bado majiran wa putini kama Finland wameanza mchakato wa NATO.

Mwezi wa 8 au 9 kupitia kambi yake pale Japan ameachilia ndege zinazozunguka maeneo karibu na Russia ili kutazama kama kutakuwa na kiashiria chochote cha russia kutumia nuclear. Hizi ndege mpaka thread zake zililetwa humu.

Biden alimwambia pUtin, ukiruhusu tu Nuclear, utajibiwa mara zaidi yake. UK akasema yupo tayari kupeleka Nuclear Poland, hii ilikuwa mwezi wa 2 toka vita vianze. Nafikiri mpaka sasa huu umoja wa NATO una zana za kila namna endapo Russia akaachilia nuclear hapo Ukraine.
 
Umesema vzr lakn usidhani Ni vyepesi kiasi hicho hii sio muvi Ni Vita halisi. Mrusi huyu ana makachero mpk ndani ya jeshi la US
Kama Russia ana makachero humo ndani ya US, basi US atakuwa na makachero mpaka ndani ya Kremlin. Pengine ndo maana Putin anabadili ulinzi kila wakati.
 
Huwa napingana nawe kutokana na ushabiki ulionao badala ya uhalisia kwenye issue ya Ukraine na Russia. Lakini kwenye hili nakubaliana nawe, Case study ni North Korea vs South Korea economically
- Itazame Taiwan
  • Itazame Japan
  • Ulaya nzima after WW II yeye ndiye aliyewashika mkono kuinuka tena.
 
Aichague sasa china iwe masikini!
Anashindwa? Kwani China alomfanya kuwa hapo juu ni nani? Umewahi kufkiria umewekazaji wa US na Ulaya hapo china? Unajua biashara china anayouza US na ulaya?

China ni mjinga kuufyata pale US spika wao wa bunge alipoenda Taiwan?
 
Umeona vizuri. Atatawala nyaja zote, kisiasa kiuchumi na kijeshi. Pia hadi sasa USA ndio taifa pekee linaloweza kuchagua nani Awe Maskini na nani awe Tajiri.
There is no too Big issue for America
Case closed.
Mbona urusi wamemshindwa
Vikwazo ndiyo vimemuimarishia uchumi
Uchumi wa Russia umeshuka kwa asilimia mbili wakati nchi nyingine ulaya mpaka 17% yeye tu ndiyo mwenye afadhali
 
Usitoke nje ya mada, hapa hatuongelei ushoga ila wewe waleta habari za ushoga

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Huo ushoga ni kibwagizo tu hapo mtoa coment amebwagia tu ila mbona imekuuma sana lakini ujumbe umesomeka vizuri na hiyo ni moja ya character yenu mbona tena inakukwazeni chief
 
Huwa naiombea sana Marekani washikilie hapo, maana hii dunia ikiachiwa makatili wa kidini kama Iran, au wakomunisti kama Urusi, tutaisha.
Jameni Marekani wasije kulemewa, waongeze nguvu na mamitambo ya kila aina na maujuzi kama yote ili tuishi salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…