Ni ngoma Kali sana kuwahi kutokea na bado inaish ikipigwa leo kama imetoka janadah umegusa sehemu ktk moyo wangu. Wacha kabisa hii ngoma.
Namba mbili ni washahili na sio uswahilini matola hawa waliimba kosa la marehemu1. wagosi wa kaya all song
2. uswahilini matola pengo
3.mangwear mikasi
4. mangwear ft jmo kimya kimya
5. ferooz ft pjay starehe
6. ngwear ft dark master she got gwan
7. solo thang ft profesa ,afande simu yangu
8. afande sele ft pjay,solo thang mtazamo
9. profesa jay ft qchila msinitenge
10. profesa jay ft juma nature ndio mzee
Kijana ntakukata makofi mbele ya invicibleAcha ufalasi
Ofcoz Mtazamo itabaki kuwa the best collabo of all times na kipindi hicho mziki ndio kweli ulikuwa unaitwa mziki