Mtazamo ndio kolabo bora kuwahi kutokea tokea bongo flava ianze

Mtazamo ndio kolabo bora kuwahi kutokea tokea bongo flava ianze

isho_boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
2,145
Reaction score
1,892
Kama ushawai isikia hii ngoma unaweza ukakubaliana na mm kuwa hii ngoma ni moja ya collable bora kabisa kuwahi kufanyika apa bongo

Hapa solo sang pale prof na katikati mfalme wa rhymes afende sele, hawa jamaa waliumiza vichwa sana wakat wanatengeneza hii ngoma sijawai kuichoka
 
1. wagosi wa kaya all song

2. uswahilini matola pengo

3.mangwear mikasi

4. mangwear ft jmo kimya kimya

5. ferooz ft pjay starehe

6. ngwear ft dark master she got gwan

7. solo thang ft profesa ,afande simu yangu

8. afande sele ft pjay,solo thang mtazamo

9. profesa jay ft qchila msinitenge

10. profesa jay ft juma nature ndio mzee
 
kwa nyimbo yenye madini ni mtazamo na wala hakuna nyimbo kama hiyo tena,nyingine ni kali ila hazina madini.
 
1. wagosi wa kaya all song

2. uswahilini matola pengo

3.mangwear mikasi

4. mangwear ft jmo kimya kimya

5. ferooz ft pjay starehe

6. ngwear ft dark master she got gwan

7. solo thang ft profesa ,afande simu yangu

8. afande sele ft pjay,solo thang mtazamo

9. profesa jay ft qchila msinitenge

10. profesa jay ft juma nature ndio mzee
Namba mbili ni washahili na sio uswahilini matola hawa waliimba kosa la marehemu
 
Yaaan nakwambi sasa hivi zimebaki kelele, c bongo hata huko tunapopangiwa uzazi nao walikuwa balaa sna, lakini sasa hivi imebaki simulizi tu ya mziki
N
 
1. mtazamo...afande ft prof jay and solo thang
2. Kimya kimya...jay mo ft mangwair
3. Mimi...geez mabov ft jay mo, fid q and chid benz
4. Mchizi wangu remix...nako2nako ft wasanii kibao wa hip hop
5. hisia..nikki mbishi ft one and suma mnazareti

Hizi ndo kolabo tano ambazo nazikubali sana
 
Kwangu mimi best top 10 colambo of all time in bongo flava ni.

1.Bongo DSM... Prof jay &jide
2.Tutakumbuka....King GK & Tid
3.ndio mzee 1&2...jay & nature & b.ayubu
4.mzee wa busara 2..nature &inspkta &kr
5.barua....daz nundaz
6.kamanda....daz nundaz
7.mechi kali... Solidy g family
8.mtazamo...jay &afande &solo
9.staree...jay &feruzi
10.zali la mentali... Jay & nature
 
Back
Top Bottom