Mtazamo ndio kolabo bora kuwahi kutokea tokea bongo flava ianze

haujamtendea haki ferouz kama mwimbo wa bosi feat solo thang na sir nature hujauweka kwenye list
 
mtoa mada leo umeongea kidali tupu. yan balaa
yoo hakuna s bla o
ukinicheka shambani nakukucheka sokoni
nani achunwe ngozi
prof. Alifunikwa hyo ngoma,langa alisimama kuliko wote,kuna kolabo ya ukisikia paah ujue imekukosa,chid aliboronga ila fid alkua balaa
 
Nakubali hy simu yangu...
 
Hahahahhh. Mwana FA kwenye verse mojawapo anasema "mmeamua wenyewe kuwa nguruwe, inakuaje mdai mabawa"? Sijui hili dongo lilimlenga nani, nilihisi ni wenzake waliokuwa East Coast.
 
ingekuwa vip?? mwana fa ft j moo... hii ilikuwa balaaa

nyimbo ilijibiwa na watu zaidi ya 10..

watu walitoka kimuziki kwa kuijibu ingekuwa vipi
Tatizo la Ingekuwa vipi MwanaFa alicopy track ya Fedro Star
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…