Mtazamo ndio kolabo bora kuwahi kutokea tokea bongo flava ianze

Mtazamo ndio kolabo bora kuwahi kutokea tokea bongo flava ianze

haujamtendea haki ferouz kama mwimbo wa bosi feat solo thang na sir nature hujauweka kwenye list
 
mtoa mada leo umeongea kidali tupu. yan balaa
yoo hakuna s bla o
ukinicheka shambani nakukucheka sokoni
nani achunwe ngozi
prof. Alifunikwa hyo ngoma,langa alisimama kuliko wote,kuna kolabo ya ukisikia paah ujue imekukosa,chid aliboronga ila fid alkua balaa
 
1. wagosi wa kaya all song

2. uswahilini matola pengo

3.mangwear mikasi

4. mangwear ft jmo kimya kimya

5. ferooz ft pjay starehe

6. ngwear ft dark master she got gwan

7. solo thang ft profesa ,afande simu yangu

8. afande sele ft pjay,solo thang mtazamo

9. profesa jay ft qchila msinitenge

10. profesa jay ft juma nature ndio mzee
Nakubali hy simu yangu...
 
Hii ngoma kila mtu alikua na asira na kila mtu alionyesha ukongwe ukitaka kujua umuhimu wa makalio kalia kichwa prof Jay Sugu anakwambia kuna watu wako juu kama mbalamwezi na nyota na maisha wanayoishi utabaki kuyaota mwana FA kenge wanachafua maji wanakijiji wasiyaoge na kuwajibu itakuangumu
Hahahahhh. Mwana FA kwenye verse mojawapo anasema "mmeamua wenyewe kuwa nguruwe, inakuaje mdai mabawa"? Sijui hili dongo lilimlenga nani, nilihisi ni wenzake waliokuwa East Coast.
 
ingekuwa vip?? mwana fa ft j moo... hii ilikuwa balaaa

nyimbo ilijibiwa na watu zaidi ya 10..

watu walitoka kimuziki kwa kuijibu ingekuwa vipi
Tatizo la Ingekuwa vipi MwanaFa alicopy track ya Fedro Star
 
Back
Top Bottom