Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
prof. Alifunikwa hyo ngoma,langa alisimama kuliko wote,kuna kolabo ya ukisikia paah ujue imekukosa,chid aliboronga ila fid alkua balaamtoa mada leo umeongea kidali tupu. yan balaa
yoo hakuna s bla o
ukinicheka shambani nakukucheka sokoni
nani achunwe ngozi
Nakubali hy simu yangu...1. wagosi wa kaya all song
2. uswahilini matola pengo
3.mangwear mikasi
4. mangwear ft jmo kimya kimya
5. ferooz ft pjay starehe
6. ngwear ft dark master she got gwan
7. solo thang ft profesa ,afande simu yangu
8. afande sele ft pjay,solo thang mtazamo
9. profesa jay ft qchila msinitenge
10. profesa jay ft juma nature ndio mzee
Hahahahhh. Mwana FA kwenye verse mojawapo anasema "mmeamua wenyewe kuwa nguruwe, inakuaje mdai mabawa"? Sijui hili dongo lilimlenga nani, nilihisi ni wenzake waliokuwa East Coast.Hii ngoma kila mtu alikua na asira na kila mtu alionyesha ukongwe ukitaka kujua umuhimu wa makalio kalia kichwa prof Jay Sugu anakwambia kuna watu wako juu kama mbalamwezi na nyota na maisha wanayoishi utabaki kuyaota mwana FA kenge wanachafua maji wanakijiji wasiyaoge na kuwajibu itakuangumu
Mkuu hiyo ngoma hatari,siichoki.Kuna wale watoto wa kariakoo ,Blue ,Dully na ndugu yao Joslin ile dhahabu pia ilisimamia ukucha
Tatizo la Ingekuwa vipi MwanaFa alicopy track ya Fedro Staringekuwa vip?? mwana fa ft j moo... hii ilikuwa balaaa
nyimbo ilijibiwa na watu zaidi ya 10..
watu walitoka kimuziki kwa kuijibu ingekuwa vipi