demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Sote tumeona aina ya Kocha ambaye ameajiriwa na Simba SC. Kocha ambaye amechukua nafasi ya Didier Gomes.
Tukiamua kutumia jicho la tatu la kiuchambuzi kila anakubariana na mimi kuwa Simba SC inaenda kupitia changamoto nyingine ya kibahati nasibu.
Uzoefu:-
Yes anauzoefu wa kufundisha katika madaraja makubwa ya soka. Lakini je mazingira ya mpira wa kiafrika yatampa ushirikiano? Sote tunajua kuwa mpira wa kiafrika una mambo mengi sana ambayo yanahitaji mwl mwenye kofua.
Mfano mzuri ni kwamba hapa barani Afrika hatujawahi pata kocha mwenye high profile kutoka Ulaya ambaye akapata kufanikiwa katika ujio wake wa awali kabisa katika bara.
Matarajio yangu ni kuwa Simba ingepata kusajili Coach kama wenye kaliba ya kufanana na wakina Vicente Calderon au Pitso Mosimane.
Ligha:-
Bila shaka si mzungumzaji wa lugha ya kiingereza. Kama ilivyo kwa Prof Nabi, ilimuhitaji apate msaidizi wa kutafsiri maelekezo kwenda kwa wachezaji je Simba imeandaa mwalimu mtafsiri.?
Mafanikio:-
Locha ya kupota katika timu kubwa barani Ulaya,inaonekana wazi kuwa hakuna mafanikio yeyote ambayo ameyapata. Je nini kimepelekea viongozi wa simba waamini kuwa anaweza kuisaidia simba ikapata mafanikio?
Hapa naona wazi kuwa watani zangi mmeamua kutwanga maji kwenye kinu.
Mpaka aje kukaa sawa kwenhs Ligi nadhani Mabingwa wa kihisyoria watakuwa wamekwisha fanya yao ya kutosha.