Mtazamo: Simba SC Wamekosea Kuajiri Kocha Asiye na Uzoefu wa Soka la Afrika.

Utopolo wako kwenye mateso makali. Kuna watu tangu jana saa 2 wameshafungua nyuzi 3 au 4 kuhusu kocha wa Simba. Sijui wanataka kubadilisha nini. Utopolo!!
 
Kocha Gomez mliona hana vyeti, amekuja mwenye vyeti mnaanza maneno yenu, upuuzi tu
 
Utopolo wako kwenye mateso makali. Kuna watu tangu jana saa 2 wameshafungua nyuzi 3 au 4 kuhusu kocha wa Simba. Sijui wanataka kubadilisha nini. Utopolo!!
Wanataka kuanza ulozi wao
 
Back
Top Bottom