Mtazamo: Simba SC Wamekosea Kuajiri Kocha Asiye na Uzoefu wa Soka la Afrika.

Watanzania tunaishi kwa kukalili sana hadi tunakera, uzoefu hautoki mbinguni wala hauji kwa miujiza ila unapatikana kwa vitendo kwenye mazingira ya eneo lako la kazi. Kwa kuzungatia weledi kocha akipewa uhuru (autonomy) anaweza kujifunza kuendana na mazingira na akaweza kumudu mazingira ya Kiswahili ya Tanzania. Ukocha ni taaluma tuishemu sio kila mtu anaweza wengine tubakie kuwa washabiki tuache ujuaji wa Kiswahili
 
Ila mwamba jana umeifungulia SimbA SC nyuzi nyingi Sana😁
 
Kuna baadhi ya hoja zako nazikubali,lakini hili la Afrika hajawai Kuna na kocha mwenye wasifu mkubwa Ulaya, na kuja Afrika kumfundisha , nakupingaa rejea michuano ya mataifa ya Afrika ,Tunisia ilifundishwa na kocha mwenye wasifu mkubwa kutoka Ufaransa,na ambaye aliwapa Ufaransa UbInGwA wa Ulaya,na alipokuja Afrika akawapa Tunisia UbInGwA wa mataifa ya Afrika.
 

Nachojua siku zote,Adui yako muombee njaa,kulikoni wewe Adui unamuombea shibe,kama siyo muhaho wa ujio wa kocha kijana mwenye kulijua Soka la kisasa Duniani.Endeleeni kuhangaika na Babu Nabi na mtulie mje kuona soka la kisasa likifundishwa na Kijana mdogo mwenye CV iliyoshiba.
 
Uto bhana, mbona uto wamekaa misimu mi4 bila mafanikio ya maana wakiwa na makocha hao hao wenye uzoefuna profile kuuuubwa kwa ligi za bara giza. [emoji1745][emoji134]
 
Uzoefu wa soka la Afrika unapatikana wapi?
 
Yaani nzi wa Utopolo uishauri Simba!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…