Mtazamo: Tundu Lissu atafanikisha Godbless Lema kuondoka nchini Kenya na kupata hifadhi katika nchi mojawapo ya Ulaya au Marekani

Nawatakia kila la heri. Wacha sisi wengine tubaki nchini tuiendeleze nchi yetu chini ya Serikali ya CCM.
 
mbowe haezi enda maana ana wabunge kadhaa wanaingia bungeni kwa viti maalumu,kisha atakuwa anazuia luzuku pale kama kawaida.
Unatumia unyeo kufikiria,maana maneno yako yana harufu ya kinyesi.
 
Kamanda unajipa moyo.
 
Lema anatafutwa na nani? Kwa lipi?
Alichukua pesa za wafanyabiashara wenzake na wezi wa magari wenzake kwa ahadi kwamba atakuwa waziri wa Mambo ya ndani na Mbowe anakuwa waziri mkuu hivyo atawalinda na watatajirika. Sasa kichapo Cha shoga mwizi kimewakuta kaamua kusepa.
 
Kamanda lini nikupitie tukaandamane?
 
Mimi sijawachoka, wewe unaongelea wananchi gani. Unafurahia ushindi wa ccm uliotengenezwa na tume ya uchaguzi, ukatekelezwa na wakurugenzi wa halmashauri, kwa mikono ya masikini waalimu na watumishi duni wa halmashauri na ukalindwa kwa umwagaji damu za raia kwa nguvu za jeshi la polisi na maafisa wa usalama wa taifa? Kama hayo huyaoni, basi hata jiwe akikutaka unyumba utampa.
 
Hii movement ya hawa jamaa ni ya kisanii sana...wanajitisha na kwenda kuzua taharuki huko nchi za watu.

Hii ni aina ya siasa za kishamba.
 
Kuna mambo ya ajabu sana Nchi hii.

Yaani Lema alikuwa akiishi salama kabisa atleast for the last 10 years. Kafanya kampeni zake kwa usalama kabisa ila baada ya uchaguzi kuisha na Ubunge kupokwa, ghafla inasemekana Serikali ya CCM imeanza ‘kumuwinda na kumtishia uhai wake’

Kwa nini sasa? Kwanini wamfanyie yeye na sio Halima Mdee, Boniface Jacob, Sugu au Heche?
 
Kamanda lini nikupitie tukaandamane?

Kwani hao uliowataja ndio wako salama?
 
Impact ya Lissu ni Nini? Kakuta chadema ina wabunge 70+ kaacha zero. Ana -ve impact
 
Kama siyo usanii, vipi hayo majina ya wabunge wa viti maalum, meza imepinduliwa kibabe? Kwanza mlisusa, kwa sasa nini kimebadilika?
 
Angejua wakimbizi wanavyoteseka huko nchi za magharibi hasingekimbilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…