Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Tuendelee kuandamana humu humu JF kamanda kama kawaida yetu.Usisahau na yale maboksi/mabegi ya kura ili tuionyeshe dunia kwanini tunaandamana
Low thinking. Subiri uone. Alisimamia misingi ya haki na ukweli tu ikafikia kumtoa Roho. By the way muda iliyopita alikuwa anatibiwa. Now he is fine na anasoma zaidi na kazi atapewa.
Bila kusahau yale maboksi ya kura feki!Tuendelee kuandamana humu humu JF kamanda kama kawaida yetu.
Lema ni Jirani yetu,huyu jamaa hajawahi kuishi kwa amani kabisa anafuatiliwa sana.acha na yeye apumzike kwa maisha ya wasiwasi na hofu alizopitia.Lema anatafutwa na nani? Kwa lipi?
Vigezo ni usome kuongezea kinachokosekana na anaweza. Hivyo bado kabisa kusema eti hawezi kuwa lecturer. Pia ziko kazi nyingi anaweza kufanya pia tena UN. He is intelligent and capableKazi nchi zilizoendelea ziko nyingi, lkn kuhusu kuwa Profesa Chuo Kikuu hawezi kwa maana hana vigezo, ...
Ukiyaleta itakuwa freshi kama unayo.Bila kusahau yale maboksi ya kura feki!
Asante sana. Hata ukimuangalua usoni unaona kabisa hayupo sawa. Ameikubali kuacha kila kitu. Mungu amtangulie na familia yake.Lema ni Jirani yetu,huyu jamaa hajawahi kuishi kwa amani kabisa anafuatiliwa sana.acha na yeye apumzike kwa maisha ya wasiwasi na hofu alizopitia.
Cement mfuko 35,000!!!!!Ukiyaleta itakuwa freshi kama unayo.
Ila tuseme tu ukweli ndugu,wazungu wana Wema zaidi yetu sisi ngozi ya tackle.Maisha ya ulaya sio ya kila mtu.
Watu wa mission town Tanzania wakiendaga wanageuza wenyewe.
Wamuulize Ben Kinyainya ana wake wawili UK wa kwanza alimpeleka miezi mitatu mwenyewe aligeuza bora achezee vumbi la Dar.
Dada yangu mmoja mwaka wa saba UK mpaka leo ajakuzoea ni single mom hana tu mtu wakiamuachia watoto ye harudi kuishi Tanzania.
Lema hatachukia wiki,atahanishiwa kwenye kambi ya wakimbizi ulyankulu,taboraKwa mtazamo wangu, pamoja na Godbless Lema na familia yake kupewa hifadhi ya kisiasa nchini Kenya, Lema na familia yake watakuwa salama zaidi iwapo wataishi nje ya region hii ya Afrika Mashariki na zaidi wakiwa Ulaya,Marekani au kwingineko licha ya ukweli kuwa hadhi ya ukimbizi aliopewa nchini Kenya inatosha kumhakikishia usalama wake.
Hivyo ,ninaamini Tundu Lissu akiwa nchini Ubelgiji, anaweza kufanya mipango/kushawishi nchi za ulaya hasa Ubelgiji atakokuwa anaishi, kuhakiisha Lema na familia yake wanahama nchini Kenya na kwenda kupata hifadhi katika mojawapo ya nchi za Ulaya,Marekani au katika nchi nyingine tofauti na Kenya ambapo anaweza kukaa kwa muda tu.
Ni imani yangu pia Lissu atafanikisha mambo mengi ya kusaidia wapinzani wenzake pamoja na vyama vya upinzani akiwa huko ughaibuni-anakwenda kuanzisha movement za kusaidia mabadiliko akiwa huko Ulaya pasipo kuvunja au kukiuka mashariti ya kupewa hifadhi katika nchi za watu.
Muda utaongea.
Kwa hiyo unataka kufanya ukarabati wa jengo la ufipa kamanda?Cement mfuko 35,000!!!!!
Vigezo ni usome kuongezea kinachokosekana na anaweza. Hivyo bado kabisa kusema eti hawezi kuwa lecturer. Pia ziko kazi nyingi anaweza kufanya pia tena UN. He is intelligent and capable
Wapi maboksi ya kura?Kwa hiyo unataka kufanya ukarabati wa jengo la ufipa kamanda?
Yapo hapo ufipa kwenye kabati la makamu mwenyekiti.Wapi maboksi ya kura?
Nileteeni Gwajimaaa!Yapo hapo ufipa kwenye kabati la makamu mwenyekiti.
Sasa mbona unaanza kuweweseka, vipi?Nileteeni Gwajimaaa!
Nileteeni Gwajimaaaaaa!
Nileteeni Gwajimaaaaaaaaa!
Hujui kituLema anatafutwa na nani? Kwa lipi?
Kamanda lini nikupitie tukaandamane?
Usichojua ni kama usiku wa giza mdogo wangu. Wewe endelea kuniita uvccm tu, haina shida...UV-CCM mnatakiwa muandamane kulaani walichokifanya mabalozi.
..wameingilia uhuru wa vyombo vya dola na mahakama zetu kwa kumuondosha mtuhumiwa anayetakiwa mahakamani.