Mtazamo: Tundu Lissu atafanikisha Godbless Lema kuondoka nchini Kenya na kupata hifadhi katika nchi mojawapo ya Ulaya au Marekani

Mtazamo: Tundu Lissu atafanikisha Godbless Lema kuondoka nchini Kenya na kupata hifadhi katika nchi mojawapo ya Ulaya au Marekani

Low thinking. Subiri uone. Alisimamia misingi ya haki na ukweli tu ikafikia kumtoa Roho. By the way muda iliyopita alikuwa anatibiwa. Now he is fine na anasoma zaidi na kazi atapewa.

Kazi nchi zilizoendelea ziko nyingi, lkn kuhusu kuwa Profesa Chuo Kikuu hawezi kwa maana hana vigezo, ...
 
Lema anatafutwa na nani? Kwa lipi?
Lema ni Jirani yetu,huyu jamaa hajawahi kuishi kwa amani kabisa anafuatiliwa sana.acha na yeye apumzike kwa maisha ya wasiwasi na hofu alizopitia.
 
Kazi nchi zilizoendelea ziko nyingi, lkn kuhusu kuwa Profesa Chuo Kikuu hawezi kwa maana hana vigezo, ...
Vigezo ni usome kuongezea kinachokosekana na anaweza. Hivyo bado kabisa kusema eti hawezi kuwa lecturer. Pia ziko kazi nyingi anaweza kufanya pia tena UN. He is intelligent and capable
 
Lema ni Jirani yetu,huyu jamaa hajawahi kuishi kwa amani kabisa anafuatiliwa sana.acha na yeye apumzike kwa maisha ya wasiwasi na hofu alizopitia.
Asante sana. Hata ukimuangalua usoni unaona kabisa hayupo sawa. Ameikubali kuacha kila kitu. Mungu amtangulie na familia yake.
 
Maisha ya ulaya sio ya kila mtu.

Watu wa mission town Tanzania wakiendaga wanageuza wenyewe.

Wamuulize Ben Kinyainya ana wake wawili UK wa kwanza alimpeleka miezi mitatu mwenyewe aligeuza bora achezee vumbi la Dar.

Dada yangu mmoja mwaka wa saba UK mpaka leo ajakuzoea ni single mom hana tu mtu wakiamuachia watoto ye harudi kuishi Tanzania.
Ila tuseme tu ukweli ndugu,wazungu wana Wema zaidi yetu sisi ngozi ya tackle.
 
Kwa mtazamo wangu, pamoja na Godbless Lema na familia yake kupewa hifadhi ya kisiasa nchini Kenya, Lema na familia yake watakuwa salama zaidi iwapo wataishi nje ya region hii ya Afrika Mashariki na zaidi wakiwa Ulaya,Marekani au kwingineko licha ya ukweli kuwa hadhi ya ukimbizi aliopewa nchini Kenya inatosha kumhakikishia usalama wake.

Hivyo ,ninaamini Tundu Lissu akiwa nchini Ubelgiji, anaweza kufanya mipango/kushawishi nchi za ulaya hasa Ubelgiji atakokuwa anaishi, kuhakiisha Lema na familia yake wanahama nchini Kenya na kwenda kupata hifadhi katika mojawapo ya nchi za Ulaya,Marekani au katika nchi nyingine tofauti na Kenya ambapo anaweza kukaa kwa muda tu.

Ni imani yangu pia Lissu atafanikisha mambo mengi ya kusaidia wapinzani wenzake pamoja na vyama vya upinzani akiwa huko ughaibuni-anakwenda kuanzisha movement za kusaidia mabadiliko akiwa huko Ulaya pasipo kuvunja au kukiuka mashariti ya kupewa hifadhi katika nchi za watu.

Muda utaongea.
Lema hatachukia wiki,atahanishiwa kwenye kambi ya wakimbizi ulyankulu,tabora
 
Vigezo ni usome kuongezea kinachokosekana na anaweza. Hivyo bado kabisa kusema eti hawezi kuwa lecturer. Pia ziko kazi nyingi anaweza kufanya pia tena UN. He is intelligent and capable

Asome nini Tundu Lisu yuko over 50 ? Hata akianza leo atamaliza labda tayari anakaribia au keshagonga 60, hiyo kazi atakupa nani wakati kuna vijana wanaingia labor market wako late 20' s au early 30' s? Hata huko UN siyo rahisi hivyo kama mnavyofikiria ingekuwa hivyo angeshapata tayari zamani sana tu, huyo kaenda kuomba ukimbizi ina maana atakuwa anaishi kutegemea hela ya Serikali ya hiyo nchi, ...
 
Jamani kuishi uhamishoni hata kama ni ulaya sio peponi. Marehemu Kambona alishindwa kuishi London akarudi nyumbani
 
..UV-CCM mnatakiwa muandamane kulaani walichokifanya mabalozi.

..wameingilia uhuru wa vyombo vya dola na mahakama zetu kwa kumuondosha mtuhumiwa anayetakiwa mahakamani.
Usichojua ni kama usiku wa giza mdogo wangu. Wewe endelea kuniita uvccm tu, haina shida.
 
Back
Top Bottom