Mtazamo: Tundu Lissu atafanikisha Godbless Lema kuondoka nchini Kenya na kupata hifadhi katika nchi mojawapo ya Ulaya au Marekani

Kwa mtazamo wangu, pamoja na Godbless Lema na familia yake kupewa hifadhi ya kisiasa nchini Kenya, Lema na familia yake watakuwa salama zaidi iwapo wataishi nje ya region hii ya Afrika Mashariki na zaidi wakiwa Ulaya,Marekani au kwingineko licha ya ukweli kuwa hadhi ya ukimbizi aliopewa nchini Kenya inatosha kumhakikishia usalama wake.

Hivyo ,ninaamini Tundu Lissu akiwa nchini Ubelgiji, anaweza kufanya mipango/kushawishi nchi za ulaya hasa Ubelgiji atakokuwa anaishi, kuhakiisha Lema na familia yake wanahama nchini Kenya na kwenda kupata hifadhi katika mojawapo ya nchi za Ulaya,Marekani au katika nchi nyingine tofauti na Kenya ambapo anaweza kukaa kwa muda tu.

Ni imani yangu pia Lissu atafanikisha mambo mengi ya kusaidia wapinzani wenzake pamoja na vyama vya upinzani akiwa huko ughaibuni-anakwenda kuanzisha movement za kusaidia mabadiliko akiwa huko Ulaya pasipo kuvunja au kukiuka mashariti ya kupewa hifadhi katika nchi za watu.

Muda utaongea.

Lema atabaki Kenya ili afanye biashara zake Tanzania. Lema ni mfanyabiashara mwenye uwezo kwa umri wake na hawezi kwenda mbali na Arusha. Pili ughaibuni ni rahisi kwa Lissu sana ni msomi wa kimataifa Lema sio msomi. Lissu anaweza hata kuwa Professor wa chuo kufundisha sheria au kufanya kazi UN hapo ndiyo umuhimu wa kusoma nje. Lakini Lissu anajulikana kimataifa na ana marafiki wengi sana
 
Mimi sijawachoka, wewe unaongelea wananchi gani. Unafurahia ushindi wa ccm uliotengenezwa na tume ya uchaguzi, ukatekelezwa na wakurugenzi wa halmashauri, kwa mikono ya masikini waalimu na watumishi duni wa halmashauri na ukalindwa kwa umwagaji damu za raia kwa nguvu za jeshi la polisi na maafisa wa usalama wa taifa? Kama hayo huyaoni, basi hata jiwe akikutaka unyumba utampa.
Kwani hamkulinda kura??? Mbona mnatuachanganya nyie
 
Kuna mambo ya ajabu sana Nchi hii.

Yaani Lema alikuwa akiishi salama kabisa atleast for the last 10 years. Kafanya kampeni zake kwa usalama kabisa ila baada ya uchaguzi kuisha na Ubunge kupokwa, ghafla inasemekana Serikali ya CCM imeanza ‘kumuwinda na kumtishia uhai wake’

Kwa nini sasa? Kwanini wamfanyie yeye na sio Halima Mdee, Boniface Jacob, Sugu au Heche?
Fact
 
Lema atabaki Kenya ili afanye biashara zake Tanzania. Lema ni mfanyabiashara mwenye uwezo kwa umri wake na hawezi kwenda mbali na Arusha. Pili ughaibuni ni rahisi kwa Lissu sana ni msomi wa kimataifa Lema sio msomi. Lissu anaweza hata kuwa Professor wa chuo kufundisha sheria au kufanya kazi UN hapo ndiyo umuhimu wa kusoma nje. Lakini Lissu anajulikana kimataifa na ana marafiki wengi sana

Acha kuongopa wewe, Tundu Lisu anaweza kuwa Profesa wa Chuo? Chuo gani hicho na kwa elimu gani hiyo aliyonayo hadi kufundisha Chuo Kikuu? Tanzania yetu yenyewe hana vigezo vya kuwa lecturer ije kuwa nchi zilizoendelea ? Acheni kudanganyana, ...
 
Lissu tunakuomba "kamsagie kunguni" Magufuli mpaka aletwe ICC ukutane nae huko.
Ametuua na kututesa sana Uchaguzi huu.
Watu wamepigwa risasi kwenye majukwaani ya kampeni. Sio poa kabisa.
 
Mbowe haezi enda maana ana wabunge kadhaa wanaingia bungeni kwa viti maalumu,kisha atakuwa anazuia luzuku pale kama kawaida.
Aahhhh wapi? Kwao Mbowe alizaliwa akakuta kwao wanapikia chai noti. Wana utajiri wa kutosha. Wana assets mpaka nje ya nchi. Hivi unamlinganisha Mbowe na nani ako vile?
 
Acha kuongopa wewe, Tundu Lisu anaweza kuwa Profesa wa Chuo? Chuo gani hicho na kwa elimu gani hiyo aliyonayo hadi kufundisha Chuo Kikuu? Tanzania yetu yenyewe hana vigezo vya kuwa lecturer ije kuwa nchi zilizoendelea ? Acheni kudanganyana, ...
Muda utasema. Lissu is super intelligent and talented. Inajulikana wazi na ndiyo maana anaogopwa kama upupu. Mpaka risasi zaidi ya 30 zifyatuliwe kwake zimpate 16 unafikiri ni mchezo? Hajawahi kutokea Tanzania ila ndiyo tumeyaona kipindi hiki. Mungu tunusuru.
 
Kwa mtazamo wangu, pamoja na Godbless Lema na familia yake kupewa hifadhi ya kisiasa nchini Kenya, Lema na familia yake watakuwa salama zaidi iwapo wataishi nje ya region hii ya Afrika Mashariki na zaidi wakiwa Ulaya,Marekani au kwingineko licha ya ukweli kuwa hadhi ya ukimbizi aliopewa nchini Kenya inatosha kumhakikishia usalama wake.

Hivyo ,ninaamini Tundu Lissu akiwa nchini Ubelgiji, anaweza kufanya mipango/kushawishi nchi za ulaya hasa Ubelgiji atakokuwa anaishi, kuhakiisha Lema na familia yake wanahama nchini Kenya na kwenda kupata hifadhi katika mojawapo ya nchi za Ulaya,Marekani au katika nchi nyingine tofauti na Kenya ambapo anaweza kukaa kwa muda tu.

Ni imani yangu pia Lissu atafanikisha mambo mengi ya kusaidia wapinzani wenzake pamoja na vyama vya upinzani akiwa huko ughaibuni-anakwenda kuanzisha movement za kusaidia mabadiliko akiwa huko Ulaya pasipo kuvunja au kukiuka mashariti ya kupewa hifadhi katika nchi za watu.

Muda utaongea.
Kila mtu anakimbiz tumbo lake hakunag umoja mezani. Last time i check huyu Lisu alikuw huko nje akiomba Wa TZ walio kule wamsaidie kuishi, sasa anatak aende na Lema wakazibiane ridhiki [emoji780]

kama Nchi za nje waki msapoti kiuchum, jua walikuwa na maslahi naye
 
Muda utasema. Lissu is super intelligent and talented. Inajulikana wazi na ndiyo maana anaogopwa kama upupu. Mpaka risasi zaidi ya 30 zifyatuliwe kwake zimpate 16 unafikiri ni mchezo? Hajawahi kutokea Tanzania ila ndiyo tumeyaona kipindi hiki. Mungu tunusuru.

Acheni kudanganyana, Chuo Kikuu hakuna blah blah, Tundu lisu hana vigezo vya kuwa Profesa Chuo Kikuu cha Tanzania, Ulaya wala North Amerika, kama angekuwa nao tayari angeshaomba na kuanza kufundisha, au unafikiri yeye Tundu anapenda kukimbizana na chadema kwenye vzumbi huku Bongo ? Mnadanganyana sana, Tundu lisu yuko average sana kama unamuona ni intelligent basi wewe mwenyewe labda Intelligence yako pia haitoshi, lkn kwa wetu wengi tundu Lisu ni mediorce sana tu, na ndio maana anajiingiza kwenye matatizo hovyo, maisha yake ni chaos na drama tupu, intelligent people hawafanyi ujinga na kuchezea maisha yao kijinga, ...
 
Low thinking. Subiri uone. Alisimamia misingi ya haki na ukweli tu ikafikia kumtoa Roho. By the way muda iliyopita alikuwa anatibiwa. Now he is fine na anasoma zaidi na kazi atapewa.
 
Back
Top Bottom