Mtazamo wa kiroho: Kwanini Rais Samia hawezi kuwa Rais kwa vipindi viwili

Sio kosa lake kwakuwa ganzi iliyompata ina asili na nguvu ya kiroho..yupo kukamilisha awamu..Akitaka kuendelea anahitajika kufanya mengi ya giza na kwa mtazamo wangu mama hayuko hivyo..sio mtu wa makuu

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Unachosema ni kuwa atakaye peperusha bendera ya 2025-2030 kiroho ndo atakuwa ameanza mzunguko wake halali wa kwamza maana huyu wa sasa kadandia wa mwenzake aliyelala, sasa akichaguliwa samia na akashinda akawa raisi ina maana kiroho atadaiwa kipindi kimoja tena cha kuongoza yaani 2030-2035 maana hii si awamu yake kiroho yaani.

What a lucky one ikitokea akachaguliwa, yaani kiroho atakuwa raisi wa kwanza mwanamke na raisi wa kwanza kuwepo madarakani 15years.

Hata hivyo Tanzania si nchi ya kiroho ingawa watu wake wana imani.
 
Kikatiba hakuna mwenye uwezo wa kuongoza zaidi ya miaka 10. Hata akigombea 2025 akashinda mwisho wake ni 2030 tu. Kipindi hiki cha kwanza they triumph together with magufuli, kwahiyo kinahesabika ni kipindi chake cha kwanza.
 
Kikatiba hakuna mwenye uwezo wa kuongoza zaidi ya miaka 10. Hata akigombea 2025 akashinda mwisho wake ni 2030 tu. Kipindi hiki cha kwanza they triumph together with magufuli, kwahiyo kinahesabika ni kipindi chake cha kwanza.
Kwa hiyo ni kipindi chake... hapo sawa.
 
Paragraph ya kwanza kwenye mada kuu nimeandika hivi

"Ulimwengu wa roho ni timilifu na mambo yake huenda na kufanyika juu ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu."

Kama atakuwa na utashi wa kiroho nia na hamu ya kuwa rais wa kuchaguliwa kisha nguvu ya kiroho ikamkubali basi atakuwa..Shida ni kwamba nyumba anamoishi ilishapata nyufa tangu 2015 na ilipofika 2020 ikaondolewa vitu vingi muhimu....

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Nilisoma sema nipo kiroho zaidi ndugu Mshana. Si unajua kiroho mambo ni ya kimiujiza ujiza tu. Mengi kama si lolote linawezekana.
 
January Makamba Rais wetu wa awamu ya Saba
 
Mwenye masikio na asikie..atakayeshupaza shingo atavunjika mara... Kama kijiti kikavu katikati ya jangwa
Acha uongo ndugu.Magufuli alikufa kwa ugonjwa wa moyo.Waziri wa ulinzi amekufa kwa corona.Waziri wa sheria na katibu mkuu pia corona.Unachoandika huwa tunaita ni hadithi za kusadikika na kubuni tu.

Watanzania wengi wanapenda uongo uongo tu.Kama wanavyolishwa uongo wa chanjo ya corona.Samia atatawala mpaka 2030.
 
Haya asante kwa kuchangia..hii ni mada huyu lazima mitazamo itofautiane..huu wako ni mtazamo pia

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…