Mtazamo wa Mnigeria kuhusu uchafuzi wa Oktoba 29!

Kunaeneo kama Taifa hatujitendei haki , kunawatu wapo kwenye vitengo vigumu na wanafanyakazi kwa uaminifu mkubwa sana ili kuhakikisha Taifa letu linaendelea kuwa salama ,lakini inaumiza sana kuona nyumbani waliyopewa dhamana ya kutengeneza ustawi wa Taifa letu wanautenda uharifu ambao wengine wanapamana usitokee kwenye Taifa letu .

Inaumiza sana moyo kiukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…