Mtazamo: Wananchi wameichukia CCM ilishazoea kuwaona wajinga, wananchi wa leo sio wa 2015

Siyo kweli,CCM haishindi uchaguzi wowote huru.Unamhusisha Mwl.na wizi wa kijinga wa uchaguzi mnaoufanya?Hivi hata ingekuwa kweli ndiyo kuhalalisha uchafuzi huu na uminywaji wa Democracy wa kiasi hiki.
CCM huwa hawashindi chaguzi,ni usanii huku wakiangamiza mabilioni ya fedha za Watanzania.
Moto wa Katiba umeanza kuwaunguza mnaanza kutajana wenyewe!
Bado Ndugai hamjamalizana naye?
 
Hawa jamaa wame track akili za watanzania Kwa 98%,hivi kweli Ndugai amekuwa hoja ya taifa kabisa?!
CCM ni kirusi siku kikitolewa tunaweza kuiona Tanzania kipekee.
Mwizi Ndungai leo ni National darling.
 
Tatizo hao wapinzani wenyewe ni ccm au hawapo kabisaaa
Sasa ccm itaendelea kubaki hapo kwa muda mrefu sana
 
Tanzania ni mali ya Ccm
 

Akili mgando usikute na wewe una familia inakutegemea
 
Not everything...hawana uungwaji mkono wa wananchi...tatizo watanzania ni kama timelogwa na huyu ccm..siku tukizinduka ndipo watakapojua hiyo Dola wanayoitegemea sio lolote sio chochote...ipo siku
Uaminifu nakwambia uungwanji mkono nao bado wanao. Wanavyo idadi ya kuwatosha kuhalalisha walitakalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…