Mtazamo: Wanawake wengi wapo kwenye ndoa au mahusiano kwa sababu za kiuchumi zaidi na si mapenzi

Tena nawasihi kabisa. Usijiumize kiuchumi kwa lengo eti la kumfanya mwanamke atulie. My brother hilo liko nje ya uwezo wako. Hata umtoe kwenye chumba cha 50,000 Vingunguti Relini ukampangie nyumba ya 700,000 Mikocheni, haimzuii kwenda kuliwa na bodaboda, muuza genge, mpaka rangi za kucha n.k. Acha kabisa kuongozwa na hisia. Hawa wanawake asilimia 98 wanajiuza either directly or indirectly. Acha kutumika kwa maslahi yao.
Hili nalo neno. Tena Hawa bodaboda wanazichakaza sana m ususu za wake wa watu
 
Habari za muda huu waungwana....

Mapenzi ni maisha na mapenzi ni sehemu kubwa ya maisha....ni vigumu kuyaweka kando mapenzi kwani hata ukifanya hivyo moyo utakuamulia.....hivyo basi hatuwezi kuyacha kuyajadili kwa mazuri na mabaya yake.......

Nyakati za hivi karibuni kumeshamiri wimbi la hali ya uongo, usaliti, wizi, na ukatili kwenye ndoa.....wingi wa visa hivyo kumepelekea taasisi ya ndoa kupoteza maana...mpaka mtu ukiamua kuoa watu wanakushangaa na kukuonea huruma kana kwamba unafanya jambo la kishetani.......

Hasa nikiangazia upande wa wanawake walio kwenye ndoa....unakutana na matukio ya usaliti wa kupindukia, unakutana na matukio ya wanawake kuwaibia waume zao au kufanya mambo yao kwa siri pasi na mume kujua......kuamua kuachana na mumewe pindi tu anapopata uwezo wa kiuchumi na kuweza kujitegemea........

Vipo vilio vya wanaume wengi waliojaribu kwa namna moja au nyingine kuwainua wanawake zao kiuchumi kwa nia njema kabisa lakini matokeo yake yamekuwa machungu......

Wingi wa mtiririko wa matukio haya ya wanawake.....kukithiri kwa vilio hivi kwa wanaume.....kuongezeka kwa taraka na kukimbiana baada ya mke kujiona kuwa anaweza kujimudu yote inadhihirisha ukweli kuwa wanawake walio wengi wapo kwenye ndoa au mahusiano kwa sababu za kiuchumi zaidi kuliko mapenzi......

Kuna uwezekano mkubwa huyo unayemuita mkeo au mpenzi wako yupo na wewe kwa kuwa kwa muda huu ni wewe pekee unayeweza kusimamia vyema matatizo yake ya kiuchumi......nguzo ya upendo haipo moyoni mwake.....

Hatukatai kwamba mwanaume lazima utoe huduma kwa mkeo lakini kwanza yatangulie mapenzi kwani kwenye maisha kuna nyakati nyingi hasa si uungwana kuwa na mtu ndoani kwa sababu fulani kwani inawezekana sababu hiyo siku moja ikaondoka........

Ingawa hali ni ngumu na ni vigumu kutambua maana waigizaji ni wengi sana wanapoona kuwa kuna uwezekano wa kupata chochote kitu kwenye muunganiko huo tusijisahau wanaume wenzangu.......lazima ufanye jitihada za kumjua mwenzako ni mtu wa namna gani ili ujiandae kisaikolojia kukabiliana na unalolijua.......

Word is enough for the wise....
Ukiona anakuchuna ujue Kuna kajinga Fulani kanakula bure
 
Na wanawake karibia wote ni wasaliti
Wanawake karibia wote waliowah kucheat sabbu ya kwanza Huwa ni visasi na bahat mbaya wanaume wengi Huwa hawajui kuwa wakezao wanajua mienendo Yao ila wengine huamua kukaa kimya
Shida ya wanawake hatujui kusahau Yani wengi hulipa ndio shida inapoanzia
 
Sasa unalipa ya nini sii uondoke tuuu au ndio tunarudi pale pale kuwa mnaangalia uchungu wa kwenda kutulia hela zenu 🤣🤣🤣🤣
 
Mapenz gani mnazungumzia wakat wanaume karibia wote ni wasaliti
Nyie hayo mapenz mnayo kweli?
1 Mmekataa 50 by 50
2 Mnaangalia sana financial status ya mwanaume kuliko upendo anaotoa
3 After kufikisha 30s ndo kwa ma prophet kutafta ndoa baada ya kula bata kwenye milima n mabonde
4 uvumilivu na kuwa submissive vimewaisha. Mmekuwa sana ma FEMINISM
5 kwenye ndoa mnaangalia kipi mnachokikosa kwa patner. Mkitafte sehemu nyingine
 
Baada ya kula chumvi nyingi n kumaliza bata zote za dunia wapo tayari kuishi ata na maskini wao wata udumia
Huyo sio kwamba yupo tayari kuishi isipokuwa anajibanza ili japo apate hata uhakika wa kula huku anaangalia options zingine....ishi kwa akili na mwanamke.....
 
sio mtazamo huo ndiyo ukweli na sasaivi wana mbinu mpya ukimuoa anakuendea kwa mtaalam unapigwa dawa ya kukumaliza nguvu za mshedede taratibu itafika hatua husimamishi kabisa sasa hapo ndo anaanza vituko anaongea na wanaume wake kwa simu mbele yako na anajua hutafanya kitu sababu wewe kitandani jogoo sio tu kusimama hata kushtuka hastuki, anakudharau mbele za watu na hutaweza kumkalipia sababu unaogopa ataropoka siri zako kuwa wewe hanithi kumbe kakutengenezea hilo tego yeye mwenyewe na hiyo hali itakudhoofisha zaidi ndani kwa ndani mwisho utajinyonga ufe. Ni mwanaume gani anaweza kumfanyia mkewe mambo kama hayo? Jibu ni hakuna ila je ni mwanamke gani anaweza kumfanyia mumewe mambo kama hayo? Nadhani jibu unalo. Ni mashetani hawa nyie hamsikii. Shauli zenu.
Hatari sana
 
Habari za muda huu waungwana....

Mapenzi ni maisha na mapenzi ni sehemu kubwa ya maisha....ni vigumu kuyaweka kando mapenzi kwani hata ukifanya hivyo moyo utakuamulia.....hivyo basi hatuwezi kuyacha kuyajadili kwa mazuri na mabaya yake.......

Nyakati za hivi karibuni kumeshamiri wimbi la hali ya uongo, usaliti, wizi, na ukatili kwenye ndoa.....wingi wa visa hivyo kumepelekea taasisi ya ndoa kupoteza maana...mpaka mtu ukiamua kuoa watu wanakushangaa na kukuonea huruma kana kwamba unafanya jambo la kishetani.......

Hasa nikiangazia upande wa wanawake walio kwenye ndoa....unakutana na matukio ya usaliti wa kupindukia, unakutana na matukio ya wanawake kuwaibia waume zao au kufanya mambo yao kwa siri pasi na mume kujua......kuamua kuachana na mumewe pindi tu anapopata uwezo wa kiuchumi na kuweza kujitegemea........

Vipo vilio vya wanaume wengi waliojaribu kwa namna moja au nyingine kuwainua wanawake zao kiuchumi kwa nia njema kabisa lakini matokeo yake yamekuwa machungu......

Wingi wa mtiririko wa matukio haya ya wanawake.....kukithiri kwa vilio hivi kwa wanaume.....kuongezeka kwa taraka na kukimbiana baada ya mke kujiona kuwa anaweza kujimudu yote inadhihirisha ukweli kuwa wanawake walio wengi wapo kwenye ndoa au mahusiano kwa sababu za kiuchumi zaidi kuliko mapenzi......

Kuna uwezekano mkubwa huyo unayemuita mkeo au mpenzi wako yupo na wewe kwa kuwa kwa muda huu ni wewe pekee unayeweza kusimamia vyema matatizo yake ya kiuchumi......nguzo ya upendo haipo moyoni mwake.....

Hatukatai kwamba mwanaume lazima utoe huduma kwa mkeo lakini kwanza yatangulie mapenzi kwani kwenye maisha kuna nyakati nyingi hasa si uungwana kuwa na mtu ndoani kwa sababu fulani kwani inawezekana sababu hiyo siku moja ikaondoka........

Ingawa hali ni ngumu na ni vigumu kutambua maana waigizaji ni wengi sana wanapoona kuwa kuna uwezekano wa kupata chochote kitu kwenye muunganiko huo tusijisahau wanaume wenzangu.......lazima ufanye jitihada za kumjua mwenzako ni mtu wa namna gani ili ujiandae kisaikolojia kukabiliana na unalolijua.......

Word is enough for the wise....
 
1 Mmekataa 50 by 50
2 Mnaangalia sana financial status ya mwanaume kuliko upendo anaotoa
3 After kufikisha 30s ndo kwa ma prophet kutafta ndoa baada ya kula bata kwenye milima n mabonde
4 uvumilivu na kuwa submissive vimewaisha. Mmekuwa sana ma FEMINISM
5 kwenye ndoa mnaangalia kipi mnachokikosa kwa patner. Mkitafte sehemu nyingine
Ukweli ni kuwa ndoa Haina maelezo Wala haiitaji point km tunavojielezea mitandaoni ndoa ni maisha na maisha tunajua hayana formula Kuna muda yanakuwa nje ya mawazo ambayo tulikuwa nayo before hatujaoa au kuolewa

Ndugu formula hakuna Wala Haina ujuzi
 
Naunga mkono wanawake wanaokua kwenye mahusiano kwa sababu ya uchumi, viumbe vyote duniani vya jinsia ya kike vinapenda kuwa kwenye mahusiano kwa sababu yenye nguvu kama hiyo kwa maslai mapana ya kizazi chake.
Uko mwanaume kweli ✌️
 
Back
Top Bottom