Mtazamo: Wanawake wengi wapo kwenye ndoa au mahusiano kwa sababu za kiuchumi zaidi na si mapenzi

Hili nalo neno. Tena Hawa bodaboda wanazichakaza sana m ususu za wake wa watu
 
Ukiona anakuchuna ujue Kuna kajinga Fulani kanakula bure
 
Na wanawake karibia wote ni wasaliti
Wanawake karibia wote waliowah kucheat sabbu ya kwanza Huwa ni visasi na bahat mbaya wanaume wengi Huwa hawajui kuwa wakezao wanajua mienendo Yao ila wengine huamua kukaa kimya
Shida ya wanawake hatujui kusahau Yani wengi hulipa ndio shida inapoanzia
 
Wanawake karibia wote waliowah kucheat sabbu ya kwanza Huwa ni visasi na bahat mbaya wanaume wengi Huwa hawajui kuwa wakezao wanajua mienendo Yao ila wengine huamua kukaa kimya
Shida ya wanawake hatujui kusahau Yani wengi hulipa ndio shida inapoanzia
Sasa unalipa ya nini sii uondoke tuuu au ndio tunarudi pale pale kuwa mnaangalia uchungu wa kwenda kutulia hela zenu 🤣🤣🤣🤣
 
Mapenz gani mnazungumzia wakat wanaume karibia wote ni wasaliti
Nyie hayo mapenz mnayo kweli?
1 Mmekataa 50 by 50
2 Mnaangalia sana financial status ya mwanaume kuliko upendo anaotoa
3 After kufikisha 30s ndo kwa ma prophet kutafta ndoa baada ya kula bata kwenye milima n mabonde
4 uvumilivu na kuwa submissive vimewaisha. Mmekuwa sana ma FEMINISM
5 kwenye ndoa mnaangalia kipi mnachokikosa kwa patner. Mkitafte sehemu nyingine
 
Baada ya kula chumvi nyingi n kumaliza bata zote za dunia wapo tayari kuishi ata na maskini wao wata udumia
Huyo sio kwamba yupo tayari kuishi isipokuwa anajibanza ili japo apate hata uhakika wa kula huku anaangalia options zingine....ishi kwa akili na mwanamke.....
 
Hatari sana
 
Your browser is not able to display this video.
 
Ukweli ni kuwa ndoa Haina maelezo Wala haiitaji point km tunavojielezea mitandaoni ndoa ni maisha na maisha tunajua hayana formula Kuna muda yanakuwa nje ya mawazo ambayo tulikuwa nayo before hatujaoa au kuolewa

Ndugu formula hakuna Wala Haina ujuzi
 
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Naunga mkono wanawake wanaokua kwenye mahusiano kwa sababu ya uchumi, viumbe vyote duniani vya jinsia ya kike vinapenda kuwa kwenye mahusiano kwa sababu yenye nguvu kama hiyo kwa maslai mapana ya kizazi chake.
Uko mwanaume kweli ✌️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…