Mtazamo: Wanawake wengi wapo kwenye ndoa au mahusiano kwa sababu za kiuchumi zaidi na si mapenzi

Maisha yana formula.
KIle kinachokutokea now ni formula uliyo ikokotoa mwanzo, either kwa kujua au kutokujua.
 
Maisha yana formula.
KIle kinachokutokea now ni formula uliyo ikokotoa mwanzo, either kwa kujua au kutokujua.
Formula ni Kwamba huenda wewe unataka kuwa mume Bora je mwenzio anataka kuwa mkebora pia?tayari hapoo formula havielewek

Na mwanamke unataka kuwa na mwanaume ambae atakuwa mume mwema je huyo kijana nae ndio ndotoyake kuja kuwa mume mwema tayar formula hakuna na ndio maana ndoa nying zinaangukia pua hakuna uwiano mzuri watu tunabet tu na ingekuwa formula ipo na tnaijua km tunavojiamnisha kusingekuwa na talaka
 
GOD is the formula , na hatumtaki, wacha yatukute.

Mimi ndoa πŸ™Œ sidhani kama nitaoa kutokana na niliyoyaona.
 
Ukikaa na matajiri wengi wanasema. Usiwe wazi sana kifedha kwa mwanamke. Hatakiwi kujua kama zipo au hazipo.
 
Mapenz gani mnazungumzia wakat wanaume karibia wote ni wasaliti
Nyie hayo mapenz mnayo kweli?
Sisi wanaume pia tuna mapungufu mengi, ila khaa ninyi wanawake siku hizi kati ya vitu ambavyo hamna ni uwezo wa kupenda, hata baadhi ya ndugu zangu wa kike wananiambia kuwa sahivi wanawake wengi wameweka hela mbele .

Kuna baadhi ya wadada inabidi niwakwepe, maana imagine mtu hujamtongoza ni ile tu mmefahamiana mmezoeana kidogo, mnapiga kazi sehemu moja, anaanza mizinga ya vitu vidogo vidogo, almost kila siku ni ninunulie hiki, ninunulie kile, nipe hiki, nipe kile, hadi siku ingine unaogopa kumsalimia inabidi tu umkwepe maana ni kero Aaliyyah To yeye scolastika Ms R Numbisa Kelsea KikulachoChako Equation x Extrovert
 
Umeongea Kwa uchungu sanaπŸ˜€
 
Daah, natamani ningeuona uzi huu kabla sijaoa. Amebadilika sana baada ya uchumi wangu kuyumba. Sema namvumilia tu hivyohivyo watoto wakue aende zake kunakomfaa.

Sina hata hamu ya mapenzi naye kabisa. Miezi kama sita sasa si yeye au mimi anayemhitaji mwenzie kimapenzi japo mwanzoni alikuwa akinyegeka ananitaka nami kwa kulazimisha tu hisia nampa, sasa anahesabu mwezi mmoja au miwili tu ajifungue.

Sasa daa! Hadi mtoto ajae akue ndo aniachie naona ni mbali sana. Nilipata maumivu sana alipoondoka na mtoto mdogo wa mwisho, na ameshajua akimwacha mtoto atateseka kitu ambacho pia anajua fika kuwa naumia sana mtoto anapoteseka kwa kukosa mama.

Sasa imekuwa ukimkwaza kidogo tu anataka aondoke, yaani karaha tupu. Mimba ndo imemtuliza kwa sasa vinginevyo angekuwa ameshaondoka bila kujali athari kwa watoto.

Ambao hamjaoa jamani oa akupendae bila kujali hali yako kiuchumi.
 
Aaliyyah kwo nawewe huwa una cheat swahiba πŸ₯Ά??
 
Aaliyyah kwo nawewe huwa una cheat swahiba πŸ₯Ά??
Hamna ila asilimia kubwa na ninaoishi nao ni wameolewa baadhi wanaishi kijumba wengine ni divorced so kutokana Ninawasikia na mengine ninayaona but Sina experience Kam ni kweli au ni story zao tu
 
Sawa mkuu
Kwahiyo mkuu unatuthibitishia kuwa hakukuoenda kwa dhati toka mwanzo?
 
Hamna ila asilimia kubwa na ninaoishi nao ni wameolewa baadhi wanaishi kijumba wengine ni divorced so kutokana Ninawasikia na mengine ninayaona but Sina experience Kam ni kweli au ni story zao tu
Unataka kujitoa kabisa
 
Hakika wanawake wengi wanaangalia maslahi kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…