Tofaut ni nnTofautisha kucheat na kutafta ujuzi mpya wa staili za mapenzi
Tofaut ni nn
Kabisa mkuu.Sawa mkuu
Kwahiyo mkuu unatuthibitishia kuwa hakukuoenda kwa dhati toka mwanzo?
ππSio kila siku makange jaribu Ata, supu ya twigaπ π
Na ndoa mlifunga?Kabisa mkuu.
Alitaka tu kujaribu kuwa nami ili mambo yangu yakiendelea kunyooka akalie siti lkn sasa ndo hivyo mambo yamekwenda mrama hataki tena kuendelea na mimi. Yan naishi kama ninahouse girl tu..
Aaliyyahππ
AbeeAaliyyah
Ndiyo mkuuNa ndoa mlifunga?
Wacha na sisi tuwe makini maan mnatutisha.Ndiyo mkuu