Jana Dk. Tulia Ackson alimpokea Diamond na Rayvanny Mbeya na baadhi ya mashabiki wa CHADEMA kiliwauma na kuuliza kwanini Mbunge wao Sugu asiwe mgeni rasmi badala ya Dk. Tulia Ackson.
Kwanza kabisa Dk. Tulia ni fan wa Diamond na hilo lipo wazi na amekuwa akimsapoti Mondi kwenye kazi zake nyingi lakini pia amekuwa akihudhuria baadhi za show za Diamond ndio maana yeye ndo akaenda kumpokea lakini pia amemlipa Diamond show aliyepiga lakini pia amelipia hotel aliyofikia Mondi na Rayvanny pamoja malezi yote na yeye ndio aliyewashawishi waje Mbeya.
Pamoja na kuwa ni fan mkubwa wa Mondi lakini pia amefanya Kama sehemu ya mipango ya yeye kuchukua Jimbo la Mbeya kwa kutumia ushawishi mkubwa alionayo DIAMOND PLATNUMZ.
Yale mafuriko ya watu aliyopata DIAMOND Mbeya ikiwemo mashabiki kumsafishia Barabara wakati anapita na gari lake Dk. Tulia akaitumia kama sehemu ya yeye kupata mtaji wa kisiasa.
NB: Binafsi mimi sio mpenzi wa vyama vya siasa vya bongo lakini nimeshangazwa na namna ambavyo mashabiki wa CHADEMA kulalamika kwanini Sugu asingekuwepo.
Kama mgeni rasmi atakuwepo vp sugu wakati aliyemlipa Diamond ni Dk. Tulia Ackson. Na Mimi sijaona ubaya kwa Dk. Tulia kutaka Jimbo la Mbeya because yule ni mwanasiasa na lengo la mwanasiasa yoyote ni kupata nafasi ya kisiasa regardless anatoka chama kipi cha kisiasa.