mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
PH.d vimeo ziko nyingi sana,walizitafuta ili wapandishwe madaraja ya mishahara huko serikalini.Usimujali mkuu, huyu atakuwa ametumwa na tulia ackson, hapa mbeya mjini tulia hana lolote, hawezi kumungoa sugu, hata atumie usirikina kaa juzi alipotumia musalaba na jeneza la maiti eti anazika chadema, nilishangaa sana mtu ati ako na phd kisa kafanya ujinga wa ajabu kaa ule, mimi siiamini phd ya huyu tulia
Matunda yake ndio haya sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app