Mtazamo wangu kuhusu Diamond na Dk. Tulia jana Mbeya

Mtazamo wangu kuhusu Diamond na Dk. Tulia jana Mbeya

Hakuna Mtanzania asiye na chama. Don't lie on that.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usifikiri wewe upo kwenye chama ukazani na wenzako wapo Kama wewe me kuwa chama kinanisaidia Nini maisha yangu ningekuwa ninalipwa sawa ningekuwa na chama lakini upati chochote zaidi kumaliza bando na kugombana humu jamvini.
 
Kwa hiyo Tulia kawaona watu wa Mbeya ni mafala sana kwamba kwa kuja kwa Diamond basi aliyemleta anafaa kupewa ubunge wa miaka 5 kuwatetea maslahi yao ikiwemo ajira kwa vijana, wafanya biashara wadogo, mama ntilie wanaonyanyaswa na migambo nk?
Sidhani kama kweli Mbeya ni MAFALA KIASI HICHO AFIKIRIACHO TULIA.
Watu wamejaa kwa raha zao za muziki na wamelipia sio kwa sababu ya Tulia, kwani Tulia alipanda stejini kukatika mauno?
Walivyo furahi wa muziki ndivyo wapenzi wa mpira walivyo chukia Diamond kuharibu ladha yao ya kuwaona Yanga. Na jee hao nao mnataka wamchukie Tulia?
Siasa za ujanja ujanja na kuwaona vijana mafala na kuwapelekesha zimepitwa na wakati.
Tulia, hao vijana wengi wao ni wahitimu wa elimu ya juu na ya kati ambao wewe kama Naibu spika una nafasi ya kuzuia sheria kandamizi zisipite ili wawe na maisha bora na hujafanya. Iweje unataka wakuamini kwa hila ili uwe mbunge wao?

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante. Akili kubwa.

***Mbire mwene Nyamwonyo***
 
Unapopigana, siraha zote zinatumika kwa zamu kulingana na uzito wa adui. Kama Sugu ukabila haumpi nafasi yeye aliye tu.

Mimi nimeandika mara nyingi sana kwamba hata hapa Arusha, this time tunataka kabila letu maana sisi hatuna nafasi huko kwao! Crystal clear!!
Daah hii itawagharimu sana Ccm! Maana mpaka wale wahindi na wasomali wenu itabidi waende India/Somalia wakagombee! Hakuna mbongo aliye mbunge huko ........acheni kabisa ishu za ukabila nyie Ccm!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio pimbi tu. Ni low lives. Hicho kiTulia kimejishusha sana. The lousy lady stooped too low kwa huyo mshirikina Dayamondi. Kigoma.........¡!!!!!!😜😜😜😂😂

Wait a minute! Hivi ni kweli kwamba Daimond kalala na kufanya mapenzi na mama yake mzazi?! Maana huko mitaani kuna habari hiyo ..... Any ukweli!! Yaani kato..mbn na mm yk mzazi!!! Incest+disgusting
 
Watu wengi hata ndani ya JF wanashindwa kutafuta ubora wa Mbunge badala yake wako hapo kwa CHDEMA, CCM! Sungu ni mbunge kwa manufaa yake tu, Hakuna mwananchi anayenufaika kwa kuwa na Sugu. Ni mtu ambaye hawezi hata kuwa na appoint,ent na rais, waziri mkuu na hata mawaziri wengine wakampa nafasi ya kuteta naye lolote!

Tutafute watu bora. Namkumbuka Slaa, pamoja na kuwa yuko upinzani wakati ule, bado serikali ilimpa hadhi yake. Hata waziri Mkuu alimpa hadhi. Hawa wengine hawa kelele tu!
Waziri au rais anatusaidia Nini wana Mbeya. Tunaishi tunavyotaka, rais anatokea kanda ya ziwa na Kuna njaa Ni laana. Unatuletea kigagula huyo. Lkn Mbeya naijua Sana asiporogwa akafa Basi litamtokea Kama la Akukweti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wait a minute! Hivi ni kweli kwamba Daimond kalala na kufanya mapenzi na mama yake mzazi?! Maana huko mitaani kuna habari hiyo ..... Any ukweli!! Yaani kato..mbn na mm yk mzazi!!! Incest+disgusting
Acha kusikiliza habari za uzushi utapata dhambi mzee baba acha kushadadia mambo ya kipuuzi.
 
Daah hii itawagharimu sana Ccm! Maana mpaka wale wahindi na wasomali wenu itabidi waende India/Somalia wakagombee! Hakuna mbongo aliye mbunge huko ........acheni kabisa ishu za ukabila nyie Ccm!

Sent using Jamii Forums mobile app
Logically ni uzembe kuwa na msomali mbunge au katibu mkuu wa chama. Miaka mingapi imepita kabla ya US kuwa na rais mweusi? UK mweusi akipata ubunge dunia nzima inatangaziwa. Kwa nini uruhusu Mhindi mwarabu msomali kuwa mbunge nchi hii? Kama ni ruhusa kila upande uruhusu! Siyo mtu anatoka Moshi kuja kuwa mbunge Arusha halafu arusha ukijaribu kuwa mbunge Moshi unatemewa mate! Never, this time!
 
Wewe mzalendo uchwara huu upuuzi tu. Eti unamkumbuka Slaa alipewa hadhi na serikali., unafiki mtupu. Slaa alipewa hadhi gani ambayo Mbowe, Lipumba na Mbatia hawakupewa!? Mbatia alichaguliwa kuwa mbunge wa kuteuliwa. Huyu mnayemuabudu anaweza kufanya hayo!? Eti tutafute watu bora!? Wakati wabunge bogus wanaburuzwa huko bungeni na wanashindwa kuhoji kutofuatwa kwa taratibu. Ungeficha huu upumbavu wako japo uonekane mwerevu kidogo.
Dah! elimu hii jamani! Kuchaguliwa kuwa mbunge wa kuteuliwa ni kitu gani hicho? Lugha ya watoto wanaojifunza kuunda maneno,!
 
Sugu hawezi toka mbeya labda yeye aamue kuacha
Jana Dk. Tulia Ackson alimpokea Diamond na Rayvanny Mbeya na baadhi ya mashabiki wa CHADEMA kiliwauma na kuuliza kwanini Mbunge wao Sugu asiwe mgeni rasmi badala ya Dk. Tulia Ackson.

Kwanza kabisa Dk. Tulia ni fan wa Diamond na hilo lipo wazi na amekuwa akimsapoti Mondi kwenye kazi zake nyingi lakini pia amekuwa akihudhuria baadhi za show za Diamond ndio maana yeye ndo akaenda kumpokea lakini pia amemlipa Diamond show aliyepiga lakini pia amelipia hotel aliyofikia Mondi na Rayvanny pamoja malezi yote na yeye ndio aliyewashawishi waje Mbeya.

Pamoja na kuwa ni fan mkubwa wa Mondi lakini pia amefanya Kama sehemu ya mipango ya yeye kuchukua Jimbo la Mbeya kwa kutumia ushawishi mkubwa alionayo DIAMOND PLATNUMZ.

Yale mafuriko ya watu aliyopata DIAMOND Mbeya ikiwemo mashabiki kumsafishia Barabara wakati anapita na gari lake Dk. Tulia akaitumia kama sehemu ya yeye kupata mtaji wa kisiasa.

NB: Binafsi mimi sio mpenzi wa vyama vya siasa vya bongo lakini nimeshangazwa na namna ambavyo mashabiki wa CHADEMA kulalamika kwanini Sugu asingekuwepo.

Kama mgeni rasmi atakuwepo vp sugu wakati aliyemlipa Diamond ni Dk. Tulia Ackson. Na Mimi sijaona ubaya kwa Dk. Tulia kutaka Jimbo la Mbeya because yule ni mwanasiasa na lengo la mwanasiasa yoyote ni kupata nafasi ya kisiasa regardless anatoka chama kipi cha kisiasa.

Aulize ni kwanini Mary Mwanjelwa kaishia kuwa Mbunge wa kuteuliwa..

Njia pekee ya kuchukua jimbo la Mbeya ni msimamizi kumtangaza aliyeshindwa kibabe na si vinginevyo,naamini analitambua hilo na ndio maana anatumia nguvu nyingi.

Changamoto kubwa kwake pia ni kwamba vijana wa Mbeya huwa hawaogopi kulinda kura,kuchakachua ni kazi ngumu mno.
 
Dah! elimu hii jamani! Kuchaguliwa kuwa mbunge wa kuteuliwa ni kitu gani hicho? Lugha ya watoto wanaojifunza kuunda maneno,!
Kuna.post moja ya twitter huyo unayemuabudu aliandika broken english, ile ya.kumpongeza jirani kwa kuchaguliwa Rais. Unaikumbuka!? Dont forget idadi ya degree alizonazo.
 
Logically ni uzembe kuwa na msomali mbunge au katibu mkuu wa chama. Miaka mingapi imepita kabla ya US kuwa na rais mweusi? UK mweusi akipata ubunge dunia nzima inatangaziwa. Kwa nini uruhusu Mhindi mwarabu msomali kuwa mbunge nchi hii? Kama ni ruhusa kila upande uruhusu! Siyo mtu anatoka Moshi kuja kuwa mbunge Arusha halafu arusha ukijaribu kuwa mbunge Moshi unatemewa mate! Never, this time!
Chuki za kishamba hizo umemezeshwa na huyu unayemuabudu. Bogus wewe. Kinana kakataa kuwa kibaraka ndio awe mbaya!? Huyo mhindi kama kawa mbunge si kwa sababu kachaguliwa na.wapiga kura au unataka kusema kajitangaza kama mnavyojitangaza ninyi baada ya kupindua matakwa ya wapiga kura!? Kama una uchungu na.ubunge wa Lema nenda kagombee na.wewe uchaguliwe. Mmezoea demokrasia uchwara ya wizi wa kura, wenzenu wanaheshimu matakwa ya wapiga kura. Malimbukeni nyie.

Eti UK mara US , unajifanya unazijua sana. Si ndio mnawaita mabeberu nyie mnaojifanya wazalendo!? Iga na ushoga wao basi au unachagua cha kuiga!? Upuuzi.
 
Kwa akili ya kawaida kabisa mtu unasthubutu kufikiri kwamba Diamond ana ushawishi wowote ule kwa wana Mbeya?
Usimujali mkuu, huyu atakuwa ametumwa na tulia ackson, hapa mbeya mjini tulia hana lolote, hawezi kumungoa sugu, hata atumie usirikina kaa juzi alipotumia musalaba na jeneza la maiti eti anazika chadema, nilishangaa sana mtu ati ako na phd kisa kafanya ujinga wa ajabu kaa ule, mimi siiamini phd ya huyu tulia
 
Back
Top Bottom