Tulia njoo Sugu wengine tumechoka, Mbeya haina maendeleo yeyote, Sugu aondoke tu la sivyo serikali itaendea kuturuka kwenye miradi mikubwa ya maendeleo. Kunafaida gani kumshabikia mtu ambae mwisho wa siku wananch tunaumia eti kisa Sugu, yeye ananeemeka na hela za Bungeni kajenga mpaka hotel na serikali inatuangalia tuUnapopigana, siraha zote zinatumika kwa zamu kulingana na uzito wa adui. Kama Sugu ukabila haumpi nafasi yeye aliye tu.
Mimi nimeandika mara nyingi sana kwamba hata hapa Arusha, this time tunataka kabila letu maana sisi hatuna nafasi huko kwao! Crystal clear!!