Mtazamo wangu kuhusu Diamond na Dk. Tulia jana Mbeya

Jana tulia ackson alimpokea diamond na rayvanny mbeya baadhi ya mashabiki wa CHADEMA kiliwauma na kuuliza kwanini mbunge wao sugu asiwe mgeni rasmi badala ya tulia ackson

Kwanza kabisa Tulia ni fan wa diamond na Hilo lipo wazi na amekuwa akimsapoti mondi kwenye kazi zake nyingi lakini pia amekuwa akiudhulia baadhi za show za diamond ndomaana yeye ndo akaenda kumpokea lakini pia amemlipa diamond show aliyepiga lakini pia amelipia hotel aliyofikia mondi na rayvanny pamoja malezi yote na yeye ndio aliyewashawishi waje mbeya.

Pamoja na kuwa ni fan mkubwa wa mondi lakini pia amefanya Kama sehemu ya mipango ya yeye kuchukua Jimbo la mbeya kwa kutumia ushawishi mkubwa aliyonayo DIAMOND PLATNUMZ.
Yale mafuriko ya watu aliyopata DIAMOND mbeya ikiwemo mashabiki kumsafishia Barabara wakati anapita na gari lake tulia akaitumia kama sehemu ya yeye kupata mtaji wa kisiasa.

NB: binafsi me sio mpenzi wa vyama vya siasa vya bongo lakini nimeshangazwa na namna ambavyo mashabiki wa CHADEMA kulalamika kwanini sugu asingekuwepo Kama mgeni rasmi atakuwepo vp sugu wakati aliyemlipa diamond ni tulia ackson.Na Mimi sijaona ubaya kwa tulia kutaka Jimbo la mbeya cos yule ni mwanasiasa na lengo la mwanasiasa yoyote ni kupata nafasi ya kisiasa regardless anatoka chama kipi Cha kisiasa.
Ukiweza kuandika vizuri majina ya Watu na Miji, njoo tujadili.

Hakuna mtu amelalamika, ila watu wanashangaa tu suala la burudani/muziki linapochukuliwa kisiasa. Na ndio maana watu walisusa, wanachama wa CCM wakaamua waharibu uwanja wao wenyewe ili kusema show ilifana sana, ni ujinga kweli kweli.

Swali; Je, wewe upo Mbeya? ulivyoandika kana kwamba upo huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tindo kila kitu kimepangwa kwa ustadi sana hata Sugu hilo anajua,cha msingi arudi kwenye fani yake ya zamani,halikadhalika Lema Arusha,ni maoni yangu tu,wasipoteze resources watakazolipwa baada ya kumaliza kipindi chao cha utumishi wa ubunge hapo mwakani2020
Hakuna anayekataa mbinu hiyo, lakini isifike wakati wa kupiga kura kisha vyombo vya dola vikatumika kunajisi box la kura, au yeye kulazimisha kupita bila kupigwa.

Kama kila kitu kimepangwa hapo sawa, nilidhani labda watashindwa kwa kura za wananchi.
 
Jana Dk. Tulia Ackson alimpokea Diamond na Rayvanny Mbeya na baadhi ya mashabiki wa CHADEMA kiliwauma na kuuliza kwanini Mbunge wao Sugu asiwe mgeni rasmi badala ya Dk. Tulia Ackson.

Kwanza kabisa Dk. Tulia ni fan wa Diamond na hilo lipo wazi na amekuwa akimsapoti Mondi kwenye kazi zake nyingi lakini pia amekuwa akihudhuria baadhi za show za Diamond ndio maana yeye ndo akaenda kumpokea lakini pia amemlipa Diamond show aliyepiga lakini pia amelipia hotel aliyofikia Mondi na Rayvanny pamoja malezi yote na yeye ndio aliyewashawishi waje Mbeya.

Pamoja na kuwa ni fan mkubwa wa Mondi lakini pia amefanya Kama sehemu ya mipango ya yeye kuchukua Jimbo la Mbeya kwa kutumia ushawishi mkubwa alionayo DIAMOND PLATNUMZ.

Yale mafuriko ya watu aliyopata DIAMOND Mbeya ikiwemo mashabiki kumsafishia Barabara wakati anapita na gari lake Dk. Tulia akaitumia kama sehemu ya yeye kupata mtaji wa kisiasa.

NB: Binafsi mimi sio mpenzi wa vyama vya siasa vya bongo lakini nimeshangazwa na namna ambavyo mashabiki wa CHADEMA kulalamika kwanini Sugu asingekuwepo.

Kama mgeni rasmi atakuwepo vp sugu wakati aliyemlipa Diamond ni Dk. Tulia Ackson. Na Mimi sijaona ubaya kwa Dk. Tulia kutaka Jimbo la Mbeya because yule ni mwanasiasa na lengo la mwanasiasa yoyote ni kupata nafasi ya kisiasa regardless anatoka chama kipi cha kisiasa.
Huyo Betina akajipendekeze kwenye jimbo lake la magogoni maana jimbo la mbeya tusha mkabidhi mh Mbilinyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tindo kila kitu kimepangwa kwa ustadi sana hata Sugu hilo anajua,cha msingi arudi kwenye fani yake ya zamani,halikadhalika Lema Arusha,ni maoni yangu tu,wasipoteze resources watakazolipwa baada ya kumaliza kipindi chao cha utumishi wa ubunge hapo mwakani2020

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hutambui hali ya taharuki iliyo ingia Mbeya kwa ziara ya Diamond!
Kama chama, CCM wamechukizwa na kuna mtafaruku kwa kukisababishia kukosa mapato ya mpira na wapenzi wa mpira ambao wengi ni watu wanaojielewa kukosa burudani. Hivyo Tulia katulizwa!
Sikia hapo;

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna anayekataa mbinu hiyo, lakini isifike wakati wa kupiga kura kisha vyombo vya dola vikatumika kunajisi box la kura, au yeye kulazimisha kupita bila kupigwa.
Kiuhalisia lazima tukubali kabisa kwamba kama wataweka fair ground kisiasa basi huyo Betina asahau kupata ubunge mbele ya mh Sugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana Dk. Tulia Ackson alimpokea Diamond na Rayvanny Mbeya na baadhi ya mashabiki wa CHADEMA kiliwauma na kuuliza kwanini Mbunge wao Sugu asiwe mgeni rasmi badala ya Dk. Tulia Ackson.

Kwanza kabisa Dk. Tulia ni fan wa Diamond na hilo lipo wazi na amekuwa akimsapoti Mondi kwenye kazi zake nyingi lakini pia amekuwa akihudhuria baadhi za show za Diamond ndio maana yeye ndo akaenda kumpokea lakini pia amemlipa Diamond show aliyepiga lakini pia amelipia hotel aliyofikia Mondi na Rayvanny pamoja malezi yote na yeye ndio aliyewashawishi waje Mbeya.

Pamoja na kuwa ni fan mkubwa wa Mondi lakini pia amefanya Kama sehemu ya mipango ya yeye kuchukua Jimbo la Mbeya kwa kutumia ushawishi mkubwa alionayo DIAMOND PLATNUMZ.

Yale mafuriko ya watu aliyopata DIAMOND Mbeya ikiwemo mashabiki kumsafishia Barabara wakati anapita na gari lake Dk. Tulia akaitumia kama sehemu ya yeye kupata mtaji wa kisiasa.

NB: Binafsi mimi sio mpenzi wa vyama vya siasa vya bongo lakini nimeshangazwa na namna ambavyo mashabiki wa CHADEMA kulalamika kwanini Sugu asingekuwepo.

Kama mgeni rasmi atakuwepo vp sugu wakati aliyemlipa Diamond ni Dk. Tulia Ackson. Na Mimi sijaona ubaya kwa Dk. Tulia kutaka Jimbo la Mbeya because yule ni mwanasiasa na lengo la mwanasiasa yoyote ni kupata nafasi ya kisiasa regardless anatoka chama kipi cha kisiasa.
Haya,matengenezo ya uwanja ni gharama ya nani?
 
Unajiuliza na kujijibu mwenyewe kama zuzu fulani hivi ! Tulishasema kwamba Tulia Ackson hata akipiga kampeni bila dela hawezi kuwa mbunge wa Mbeya Mjini

Ataweza kuwa MB kwa kubebwa na dola(Tume ya Uchaguzi kwa msaada wa Policcm na TISS)! Nje ya hapo Tulia hana ubavu wa kumkabili Mh.Sugu!!
 
Hawa watu hawana hata aibu tena.Wanajifanya hamnazo,kampeni mwanzo mwisho kuanzia soon baada ya uchaguzi mkuu ulipoisha 2015.State engineered political rallies hadn't stopped since.
 
Kwan hapo mbeya au songwe hakuna jmbo lingine zaidi ya hilo mbeya mjini?
 
Unapopigana, siraha zote zinatumika kwa zamu kulingana na uzito wa adui. Kama Sugu ukabila haumpi nafasi yeye aliye tu.

Mimi nimeandika mara nyingi sana kwamba hata hapa Arusha, this time tunataka kabila letu maana sisi hatuna nafasi huko kwao! Crystal clear!!
patriot=mzalendo hana ukabila!
 
Jana Dk. Tulia Ackson alimpokea Diamond na Rayvanny Mbeya na baadhi ya mashabiki wa CHADEMA kiliwauma na kuuliza kwanini Mbunge wao Sugu asiwe mgeni rasmi badala ya Dk. Tulia Ackson.

Kwanza kabisa Dk. Tulia ni fan wa Diamond na hilo lipo wazi na amekuwa akimsapoti Mondi kwenye kazi zake nyingi lakini pia amekuwa akihudhuria baadhi za show za Diamond ndio maana yeye ndo akaenda kumpokea lakini pia amemlipa Diamond show aliyepiga lakini pia amelipia hotel aliyofikia Mondi na Rayvanny pamoja malezi yote na yeye ndio aliyewashawishi waje Mbeya.

Pamoja na kuwa ni fan mkubwa wa Mondi lakini pia amefanya Kama sehemu ya mipango ya yeye kuchukua Jimbo la Mbeya kwa kutumia ushawishi mkubwa alionayo DIAMOND PLATNUMZ.

Yale mafuriko ya watu aliyopata DIAMOND Mbeya ikiwemo mashabiki kumsafishia Barabara wakati anapita na gari lake Dk. Tulia akaitumia kama sehemu ya yeye kupata mtaji wa kisiasa.

NB: Binafsi mimi sio mpenzi wa vyama vya siasa vya bongo lakini nimeshangazwa na namna ambavyo mashabiki wa CHADEMA kulalamika kwanini Sugu asingekuwepo.

Kama mgeni rasmi atakuwepo vp sugu wakati aliyemlipa Diamond ni Dk. Tulia Ackson. Na Mimi sijaona ubaya kwa Dk. Tulia kutaka Jimbo la Mbeya because yule ni mwanasiasa na lengo la mwanasiasa yoyote ni kupata nafasi ya kisiasa regardless anatoka chama kipi cha kisiasa.
Sugu na yeye ni Msanii ajikaribishe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U

Usipate taabu kupima kina cha maji kwa kidole, 2020 mshauri mwenyekiti wenu asiweke mpira kwapani kama alivyofanya kwenye serikali za mtaa.
 
IMG_0308.JPG
 
Mzee baba me nimetoa tu mtazamo wangu Sina mapenzi na chama chochote Cha siasa.
 
Back
Top Bottom