Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Hakuna anayekataa mbinu hiyo, lakini isifike wakati wa kupiga kura kisha vyombo vya dola vikatumika kunajisi box la kura, au yeye kulazimisha kupita bila kupigwa.
Hicho ndicho kitakachofanyika, hivi sasa wanajenga mazingira ili ifikapo katika uchaguzi iwe kwao rahisi kufanya hayo mambo yao ili wasishtukiwe na umma, nakuambia hayo ni maandalizi ya mchezo mchafu, let's wait and see.