Mtazamo wangu kuhusu Diamond na Dk. Tulia jana Mbeya

PH.d vimeo ziko nyingi sana,walizitafuta ili wapandishwe madaraja ya mishahara huko serikalini.

Matunda yake ndio haya sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
D
Dah! Nahisi kama una tatizo kichwani vile! Kama unajitambua basi una nafuu. Ukisema Hapana, nitajua umezidiwa. Unamtaja Kinana yupi? Ni yule wa meno ya tembo?
 
Yule msomali aliyekuwa katibu mkuu wa chama uliyemtaja wewe mwenyewe. Ila nyie wazalendo uchwara ni washamba na.malimbukeni. Kama vipi mwambie bwana wako unamyesujudu ampe kesi. Zile kesi uchwara maarufu mnazowazawadia wale wanaowakosoa.
 
sihitaji kujadiliana na wewe sababu upstairs mwepesi sana! ila ujue Sugu harudi hatumtaki, ametupotezea muda wa kutosha, mji wa mbeya utadhani ni kijiji. Mji wa Mbeya unazidi kurudi nyuma kimaendeleo sababu ya siasa za kijinga za chadema.
Mbeya miaka ytee uko walikuwa wanaongoza ccm maendeleo gani yaliyofanyika kna sio sugu aliyeisukuma mpk angalau leo inatizamika usijifanye unaijua sana mbeya kiazi ww
 
Hovyo sana hyo mjinga anajifanya mbeya anaijua sana betina ndio nani yaani kutoa hivyo vimisaada ndio apate ubunge labda sio mbeya ninayoifahamu mm
Wewe kuku mweusi usitishe watu humu nyang'au wahead! Jitu libariki tuuawe tutekwe halafu unajaribu kutishia liabudiwe Rubbish brain. Nenda kamuabudu wewe kwa sababu wote ni mashetani
 
Hata Mbeya mjini si ya wanyakyusa. Ni ya wasafwa. kiTulia kikagombee kwao Tukuyu. Having said that bora jimbo Hilo Sasa angepewa Maria Mwanjelwa as she is apparently humble. Sio ki tulia kinajisikia flani.
 
Betina😁😁😁😁😁@@Tulia Ackson Mwaaaansaaaasu!!

Hovyo sana hyo mjinga anajifanya mbeya anaijua sana betina ndio nani yaani kutoa hivyo vimisaada ndio apate ubunge labda sio mbeya ninayoifahamu mm
@@
 
Mbeya miaka ytee uko walikuwa wanaongoza ccm maendeleo gani yaliyofanyika kna sio sugu aliyeisukuma mpk angalau leo inatizamika usijifanye unaijua sana mbeya kiazi ww
Hebu niambie maendeleo alivyoleta sugu hapa Mbega mjini
 
Hyo ndugai mpk leo hapo kongwa pa hovyo k
Hebu niambie maendeleo alivyoleta sugu hapa Mbega mjini
Hzo barabara za lami kuzunguka kote hko kipindi ccm wapo hpo zilikuwepo vitu vingi sana kafanya ww ulitaka maendeleo gani labda
 
Tulia asubiri viti maalum
Aache kujidanganya
Hana mvuto nyanja zote
 
Hata Mbeya mjini si ya wanyakyusa. Ni ya wasafwa. kiTulia kikagombee kwao Tukuyu. Having said that bora jimbo Hilo Sasa angepewa Maria Mwanjelwa as she is apparently humble. Sio ki tulia kinajisikia flani.
Safi! Mtu anayelazimisha kushika jimbo ni hovyo sana! Lakini snayejimilikisha jimbo pia, hafai. Mtu hastahili kuwachukia wanaotaka kugombea jimboni
 
Yule msomali aliyekuwa katibu mkuu wa chama uliyemtaja wewe mwenyewe. Ila nyie wazalendo uchwara ni washamba na.malimbukeni. Kama vipi mwambie bwana wako unamyesujudu ampe kesi. Zile kesi uchwara maarufu mnazowazawadia wale wanaowakosoa.
Huwa napata kitu kutokana na mijadala ya JF, Lakini kuendelea nawe nitapoteza hata nilichokwishapata. Sorry for that. you are swimming far above my fathoms.
 
Wewe kasuku kaimbe beberu beberu kama ulivyomezeshwa.na bwana wako. Eti patriot, a patriot, patriot uchwara.
 
Eti WM ajaye ni Tulia@betina!!! Mbeya don't give a damn. We despise her
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…