Mtazamo wangu kuhusu tabia ya wanaume wa Kenya kupenda kuvaa bangili za shanga

Macron mwenyewe anasema ze ze
Utumwa utawapeleka kaburini

Hehehe!! Hivyo mnamuiga, ila yeye lugha yake imejitosheleza hadi wanasayansi kwenye nchi yake wanaitumia kubuni vitu bila ya wao kutumia kingereza wala hata kujua salamu kwa kingereza, nyie hapo mumechanganyikiwa, mtoto anaanza elimu kwa kiswahili halafu unakuja kumshtukiza na kingereza kwenye kidato cha kwanza, kisha unategemea akitumie kwenye shughuli za maofisi, ndio hayo ya ze ze ze kila siku kinawatesa sana.
Halafu hili la lugha huwa mnatumia kuwabagua watoto wa maskini ambao wanasomea kwenye shule za saint Kayumba kule mitaa ya makajamba, maana Watanzania wenye hela zao wanapeleka watoto wao wakasomee kwenye English medium schools ambazo nyingi zinafundishwa na walimu wa Kikenya.
Nafasi za ajira mnaandika eti ataayeomba lazima awe na uwezo wa kuandika na kuongea Kingereza kwa ufasaha, madogo wa sant kayumba wanabaki wameganda na kubaguliwa maana hao ndio wamelaaniwa ze ze ze nyingi.
 
Kwanza hakuna uhusiano kati ya lugha na Intel ya akili

Then kwenye tangazo la ajira kwamba mwombaji ajue lugha zaidi ya moja, kwani huyo mwombaji ni darasa la Vll? Sababu alieishia primary school ndio mwenye excuse ya kutojua English lakini kama uliendelea na secondary A level (ambayo ni compulsorily na hutolewa bure) lazima ujue English na wala haina uhusiano kama wazazi wako wanajiweza au hawajiwezi kiuchumi since elimu yenyewe ni bure.
 
Hamnaa!! Watu wa saint Kayumba wa Kibongo hawajui kingereza, mfano ni wewe hapa, humu kwenye JF huwa unaandika kituko cha kingereza, kila siku tunakusahihisha na kukuelimisha japo huwa kinakutesa sana na wenzako, ndio nyie mlioaminishwa kwamba kujua kingereza sio uzalendo, ilhali watoto wa vigogo wanakitumia freshi.
Hapo Bongo ni vigumu sana kumpata Mtanzania anayeongea kingereza vizuri na hana ajira, wote wameajiriwa maana kwa kweli kukijua kingereza ni raha sana, kwenye vikao utatiririka na kueleza issue mpaka inakaa, halafu napenda sana kukitumia nikiwa kwenye vikao vya wabongo maana wote hulala chali hamna maswali ya kijinga ya kuchelewesha muda, wanaokiongea na kuhoji hoji unakuta ni watu wenye akili mnaendana nao sawa na kazi zinafanyika.
 
Kumbe ndio maana hamorapa kaenda kusalimia nduguze kenya,siku hizi ukikutana na mtu ana sura mbovu muulize yeye ni wawapi atakuambia amehamia kutoka kenya
 
masoudkipanya___b3jnidid7i0___-jpeg.1222318
Wao wazee wa ze ze ze na 'catarist' hapa hawawezi kumudu kitu.
Hilo hata kipanya analifahamu vizuri. Eti come down. [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hamnaa!! Watu wa saint Kayumba wa Kibongo hawajui kingereza, mfano ni wewe hapa, humu kwenye JF huwa unaandika kituko cha kingereza, kila siku tunakusahihisha na kukuelimisha japo huwa kinakutesa sana na wenzako, ndio nyie mlioaminishwa kwamba kujua kingereza sio uzalendo, ilhali watoto wa vigogo wanakitumia freshi.
Hapo Bongo ni vigumu sana kumpata Mtanzania anayeongea kingereza vizuri na hana ajira, wote wameajiriwa maana kwa kweli kukijua kingereza ni raha sana, kwenye vikao utatiririka na kueleza issue mpaka inakaa, halafu napenda sana kukitumia nikiwa kwenye vikao vya wabongo maana wote hulala chali hamna maswali ya kijinga ya kuchelewesha muda, wanaokiongea na kuhoji hoji unakuta ni watu wenye akili mnaendana nao sawa na kazi zinafanyika.
Bado unazidi kunishangaza kwamba wenye akili ni wenye kujua English, kwa hiyo mtoto wa kizungu ana akili automatically kisa tu amezaliwa kwenye English?

Wakenya mna ombwe kubwa la upeo
 
Kwamba English sio lugha mnayotumia kijiweni, kwenu hapo ili uongee kwa ufasaha lazima kwanza ukutane nayo kwenye kidato cha kwanza kisha uisomee hadi chuo kikuu, na hapo bado hautapata fursa ya kuongea maana asilimia kubwa baina yenu hamjui English, hivyo kumpata mtu ambaye licha ya changamoto zote hizo lakini amemudu na anaweza kuongea kwa ufasaha na maisha yake yote amekulia kwenye hayo mabanda, huyo ni intelligent, sio level ya makajamba wengine.

Matangazo yamejaa kote Dar eti jifunze kingereza kwa wiki sita, wengi mnahangaika mkihudhuria lakini mnatoka mkiwa weupe bila chochote maana lugha hauwezi ukaimudu kwa muda mfupi hivyo, labda uwe genius. Ndio huwa mnakuja huku na kutuzingua na kingereza mandazi.
 
hujajibu swali lake. amekuuliza mtoto wa kizungu anakuwa naturally intelligent kwa kuwa tu anazungunza kingereza?.
 
Ukitumia ubongo utaona nimemjibu na nikaongeza bakshishi juu yake, au ulitaka ajibiwe unavyotaka wewe.
 
Kwamba English sio lugha mnayotumia kijiweni, kwenu hapo ili uongee kwa ufasaha lazima kwanza ukutane nayo kwenye kidato cha kwanza kisha uisomee hadi chuo kikuu, na hapo bado hautapata fursa ya kuongea maana asilimia kubwa baina yenu hamjui English, hivyo kumpata mtu ambaye licha ya changamoto zote hizo lakini amemudu na anaweza kuongea kwa ufasaha na maisha yake yote amekulia kwenye hayo mabanda, huyo ni intelligent, sio level ya makajamba wengine.

Matangazo yamejaa kote Dar eti jifunze kingereza kwa wiki sita, wengi mnahangaika mkihudhuria lakini mnatoka mkiwa weupe bila chochote maana lugha hauwezi ukaimudu kwa muda mfupi hivyo, labda uwe genius. Ndio huwa mnakuja huku na kutuzingua na kingereza mandazi.
🚯
 
Back
Top Bottom