Mtazamo wangu kuhusu Usaliti wa wake za watu katika Ndoa

Mtazamo wangu kuhusu Usaliti wa wake za watu katika Ndoa

Kichwamoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
3,403
Reaction score
4,692
Amani ya Bwana iwe baby I!

Nawasilisha mtazamo

Kwa nini tunaoa au kuolewa na je ni kwa namna impendezayo Mungu? Kwenye jibu hapana hilo tarajia usaliti utokee. Pilau ya nyumbani huzoeleka na pilau ya harusini haizoeleki. Na hii mazoea ni katika himaya ya shetani kifikra na kimatendo.

Historia ya uasherati hutibiwa kabla ya kuingia kwenye ndoa, toba ya amri ya sita. Upendo dhidi ya sababu kuhusu uwepo wa ndoa na katika kupitia milima na mabonde ya furaha na huzuni katika ndoa. Wapo wanaoendelea na maex wao muda wote kabla na ndani ya ndoa muda wote.

Wapo wanaongoja au kuanguka nyakati ngumu kimaisha aidha kiuchumi, na mengine. Wapo ambao ni kukosa kutimiza malengo yao ya kuingia kwenye hip ndoa. Mafanikio au Maisha ya Maex ukilinganisha na yeye na mwanandoa wake kama ex anavutia zaidi

Ex anaishi katika ujirani mkoa, mtaa, wilaya etc. Hulka ya mwanandoa mfano umalaya au mama cha wote. Asiyekuwepo nafsini huwezi kumpa ya nafsi. Ex ananipatia sana je mume umemwambia.

Furaha ya nafsi ni maandalizi ya nafsi yenyewe na ushiriki wake. Kuridhika kunaanza na wewe na mwenye vigezo na tafsiri ni wewe ukimya haunihusu. Kuridhika ni relative term.

Dunia inasemaje na wewe akili yako inaonaje dunia.

Mungu ana nafasi gani katika maisha yake au yenu?

Dhambi ya mwanandoa kamwe haibebwi na mwenza.

Kama ilivyo kaburi basi hata dhambi kila mtu hubeba zake.

Uvumilivu, subra, umoja, ndoa ni taasisi mali ya watoto ni msingi wa elimu ya ndoa.

Maarifa ya chochote ni ushindi.

Amani VS Ushindi

Ushindi VS Amani.

Kataa vita ushindwe na uwe na amani au ingia vitani ushindwe na ukose amani, kataa vita ushindwe na ukose amani, kubali vita ushinde na ukose amani au pigana vita ushinde na uwe na amani.

kupanga ni kuchagua na kuchagua nako kuna vigezo na kuna muongozo.

Chagua muongozo wa Mungu au Muongozo wa Dunia.

A teacher with bad experience but with helpful teachings.

Altruism isn't costly but a blessing.
 
Ndoa Ndoano Japo Unaweza Kutumia Kupata Samaki Ila Ukiisha Vibaya Inakutoboa.
 
Back
Top Bottom