Mtazamo Wangu: Tatizo la Simba SC kuwa na matokeo mabovu linaanzia hapa...

Bocco 34
Saido 36
Nyoni 34
Inonga 30+
Kapombe 30+
Tshabalala 30+
Onyango 40+
Mzamiru 30+
Mkude 30+
Nchezaji mwenye umri mdogo ni kyombo 22.

Jean Baleke kwa mkopo katoka timu dhaifu ya Palestine... Sawa Dogo katoka huko msimu mzima hajacheza 🤔.
Kikosi cha simba ni kibovu hakina hata rotation sababu kuu n ubovu wa wachezaji... 98% waliocheza na Raja ndio wamecheza jana na ndio watakao cheza trh 25!!!.. watu walikuwa wanafanya sajili za kina msonda mnaleta kejeli nyambafuuu nyie😅😅😅
 
Jean Baleke kwa mkopo katoka timu dhaifu ya Palestine... Sawa Dogo katoka huko msimu mzima hajacheza [emoji848].
Kikosi cha simba ni kibovu hakina hata rotation sababu kuu n ubovu wa wachezaji... 98% waliocheza na Raja ndio wamecheza jana na ndio watakao cheza trh 25!!!.. watu walikuwa wanafanya sajili za kina msonda mnaleta kejeli nyambafuuu nyie[emoji28][emoji28][emoji28]
Bosi wetu mbahili[emoji1787][emoji1787]

Ila Onyango wetu umemuonea 40+ 🫣🫣
 
Salaam..

Nimekaa nikajiuliza, hasa baada ya timu pendwa ya Simba Sc kuwa matokeo yasiyoridhisha kwa mechi za hivi karibuni baada, hii ni baada ya kuchapwa 0-3 na mwarabu, na jana usiku, kulazimishwa sare ya 1-1 na Azam.

Tukiondoa sababu nyingine kama wachezaji kukosa nafasi za wazi, ambalo limeonekana kuwa tatizo kwa sasa pale Simba Sc, umri wa wachezaji na uchovu kwa kucheza mfululizo miaka mingi, lakini pia naona bado kuna tatizo jingine kubwa ambalo nalo hatujalitazama kwa umakini.

Nimekaa nikajiuliza, hivi ni ipi mantiki kwa Simba Sc, hasa viongozi wake, kuamua kuwa na makocha wawili, wote wenye sifa za kuifundisha timu, wenye umri mkubwa, kwa wakati mmoja?

Kama walishaamua kufuata maoni ya mashabiki kwamba Mgunda alikuwa hatoshi, wakaamua kumleta Mzungu, sasa ni sababu ipi inayowafanya waendelee kuwa na Mgunda pale kwenye benchi la ufundi?

Huu mkanganyiko unaojitokeza sasa matokeo yake ni kama vile Simba Sc imegawanyika makundi mawili, ina kocha wa viongozi, Mgunda, na kocha wa mashabiki waliotaka Mgunda aondoke kwa kura, mzungu.

Sijui ni kitu gani kinachowashinda viongozi wa Simba Sc kumwambia Mgunda asante kwa kazi yako, wamlipe chake, kisha aondoke, wamwambie ukweli sasa tumeamua kwenda na uelekeo tofauti, uwepo wake kwneye benchi naamini unawavuruga wachezaji kwa namna fulani.

Tumeona nyakati kadhaa Mgunda akitoa maelekezo kwa wachezaji wakati mechi ikiendelea, huyu mtu anaweza kuwa anatoa malekezo tofauti na kocha mkuu anachotaka, matokeo yake ni kuwachanganya wachezaji, kwanini kocha mkuu asiachwe huru kufanya majukumu yake kwa nafasi?

Kwangu, viongozi wa Simba Sc ndio chanzo cha hili tatizo, kwani sijawahi kuona timu zinazojielewa hapa duniani zinakuwa na makocha wakuu wawili, hapa wanaajiri kocha mpya, na pale bado wanaendelea kubaki na yule wa mwanzo!, halafu tunajitapa tunakwenda kimataifa, mataifa yapi hayo?!

Viongozi wa Simba Sc pamoja na Mo wabadilike, waachane na mambo ya kimazoea na uswahili mwingi kwenye uendeshaji wa timu, tusipoamka mapema itakuwa too late.
Ukiacha uliyoandika tatozo jingine kubwa ni mashabiki wa simba kudharau wapinzani na kuishi katika fantasy kwamba hii simba ina uwezo wa kushinda kila mechi. Horoya na azam sio timu mbovu kwaiyo hakuna maajabu yoyote kupata point kwa simba hao raja casablanca wamewazidi ubora sasa ulitegemea matokeo ya aina gani. Ifike hatua mashabiki wa simba anzeni kuwaheshimu wapinzani wenu na mkubali timu yenu haina ubora mkubwa ambao mnafikiri inao na hii itawasaidia kujiandaa kisakolojia kwa matokeo yoyote kwenye kila mechi.
 
Simba sio wabovu ki hivyo tunavyo fikiri shida yao hawataki kukubaliana kua walikua juu misimu kadhaa nyuma ila sasa hivi yanga nao wamewafwata waliko huko juu. Nao ni bora kama wao, baada ya kutulia kujenga timu zaidi wao wanakurupuka kutaka kufanya mabadiliko ya haraka ambayo yanaweza kubali au kukataa(kwao yamegoma).

Mlianza mlalamikia matola sahizi mme hamia kwa mgunda. Pia kila kocha akija na mfumo wake mnamlazimisha amuanzishe chama kitu ambacho sio kibaya lakini mkumbuke umri wake umeenda akiondoka je mbadala wake atakua nani?.

Mkiendelea kutengeneza team kumtegemea mtu mmoja hamta acha kulalamikia makocha na viongozi wenu maana kila timu ina viongozi wa hovyo sema tu upande wa pili wanapata matokeo.
 
Rizki iko popote, sitaki kuwaza kimasikini halafu tuweke professionalism pembeni, tutazidi kujimaliza.
Mbona hujaenda Ukraine kuichukua hiyo rizki ikiwa ipo popote nakati kila siku Ukraine na Russia wanatakiwa Watu wa kupigana vita?

Acha kukaza fuvu wewe, mwache Mgunda apate rizki kulea familia yake.
 
Hii timu ilikuwa ya mgunda mpaka mwisho wa msimu ila imekula kwetu
Tutalia sisi mpaka tukome
 
Salaam..

Nimekaa nikajiuliza, hasa baada ya timu pendwa ya Simba Sc kuwa matokeo yasiyoridhisha kwa mechi za hivi karibuni baada, hii ni baada ya kuchapwa 0-3 na mwarabu, na jana usiku, kulazimishwa sare ya 1-1 na Azam.

Tukiondoa sababu nyingine kama wachezaji kukosa nafasi za wazi, ambalo limeonekana kuwa tatizo kwa sasa pale Simba Sc, umri wa wachezaji na uchovu kwa kucheza mfululizo miaka mingi, lakini pia naona bado kuna tatizo jingine kubwa ambalo nalo hatujalitazama kwa umakini.

Nimekaa nikajiuliza, hivi ni ipi mantiki kwa Simba Sc, hasa viongozi wake, kuamua kuwa na makocha wawili, wote wenye sifa za kuifundisha timu, wenye umri mkubwa, kwa wakati mmoja?

Kama walishaamua kufuata maoni ya mashabiki kwamba Mgunda alikuwa hatoshi, wakaamua kumleta Mzungu, sasa ni sababu ipi inayowafanya waendelee kuwa na Mgunda pale kwenye benchi la ufundi?

Huu mkanganyiko unaojitokeza sasa matokeo yake ni kama vile Simba Sc imegawanyika makundi mawili, ina kocha wa viongozi, Mgunda, na kocha wa mashabiki waliotaka Mgunda aondoke kwa kura, mzungu.

Sijui ni kitu gani kinachowashinda viongozi wa Simba Sc kumwambia Mgunda asante kwa kazi yako, wamlipe chake, kisha aondoke, wamwambie ukweli sasa tumeamua kwenda na uelekeo tofauti, uwepo wake kwneye benchi naamini unawavuruga wachezaji kwa namna fulani.

Tumeona nyakati kadhaa Mgunda akitoa maelekezo kwa wachezaji wakati mechi ikiendelea, huyu mtu anaweza kuwa anatoa malekezo tofauti na kocha mkuu anachotaka, matokeo yake ni kuwachanganya wachezaji, kwanini kocha mkuu asiachwe huru kufanya majukumu yake kwa nafasi?

Kwangu, viongozi wa Simba Sc ndio chanzo cha hili tatizo, kwani sijawahi kuona timu zinazojielewa hapa duniani zinakuwa na makocha wakuu wawili, hapa wanaajiri kocha mpya, na pale bado wanaendelea kubaki na yule wa mwanzo!, halafu tunajitapa tunakwenda kimataifa, mataifa yapi hayo?!

Viongozi wa Simba Sc pamoja na Mo wabadilike, waachane na mambo ya kimazoea na uswahili mwingi kwenye uendeshaji wa timu, tusipoamka mapema itakuwa too late.
Simba kwa sasa hivi itakuwa kazi sana kuifunga timu kubwa kama Yanga, Azam, Vipers na Horoya. Kwa sababbu mfumo wake ni uleule na umeshaeleweka. Mfumo wa Simba sasa hivi hauna flanks za maana na mabeki wake wa pembeni wamechoka zikipigwa kaunta ndefu pembeni wanakuwa slow .
Pia set pieces za pembeni.
Ila kwa timu ndogo Simba wanajaza mido nyingi na forwards kwa hiyo wanaweza kuwapiga hata 10. Lakini siyo kwa timu kubwa zenye pros wengi.

hayo mengine ni sababu tu ambazo haziathiri simba peke yake.
 
Bocco 34
Saido 36
Nyoni 34
Inonga 30+
Kapombe 30+
Tshabalala 30+
Onyango 40+
Mzamiru 30+
Mkude 30+
Nchezaji mwenye umri mdogo ni kyombo 22.

Jean Baleke kwa mkopo katoka timu dhaifu ya Palestine... Sawa Dogo katoka huko msimu mzima hajacheza [emoji848].
Kikosi cha simba ni kibovu hakina hata rotation sababu kuu n ubovu wa wachezaji... 98% waliocheza na Raja ndio wamecheza jana na ndio watakao cheza trh 25!!!.. watu walikuwa wanafanya sajili za kina msonda mnaleta kejeli nyambafuuu nyie[emoji28][emoji28][emoji28]
40+ acheze mpira? [emoji23][emoji23] Huo ni uongo
 
Bocco 34
Saido 36
Nyoni 34
Inonga 30+
Kapombe 30+
Tshabalala 30+
Onyango 40+
Mzamiru 30+
Mkude 30+
Nchezaji mwenye umri mdogo ni kyombo 22.

Jean Baleke kwa mkopo katoka timu dhaifu ya Palestine... Sawa Dogo katoka huko msimu mzima hajacheza 🤔.
Kikosi cha simba ni kibovu hakina hata rotation sababu kuu n ubovu wa wachezaji... 98% waliocheza na Raja ndio wamecheza jana na ndio watakao cheza trh 25!!!.. watu walikuwa wanafanya sajili za kina msonda mnaleta kejeli nyambafuuu nyie😅😅😅
Nasema hivi trh 25 Simba anashinda..

Utashangaa haya Ila Simba anashinda kwa kishindo cha kuwashangaza wengi Uganda watakufa vibaya wakiwa nyumbani kwao

Tunza hii kumbukumbu..

Bao ni Vipers 0-3 Simba wakikoswakoswa basi ni Vipers 1-4 Simba

Usiseme nimeroga Ila tunza hii kumbukumbu

Mimi sio Simba Ila nnaweza kuona mbali
 
Sawa sio mbalii.....
 
Sawa sio mbalii.....

12+24+24+12 = 96 hours

Yamebaki masaa 96 kufika mechi ya Vipers na Simba sio karibu hapo ni mbali kwa kupaangalia unaweza usifike au kukaribia kufika saa ya mwisho ya mechi hio Ila siombei itokee hivyo..
 
Back
Top Bottom