Mtazamo wangu: Urafiki wa kawaida kati ya muislam na muislam una mashiko ya kweli kuliko urafiki wa mkristo na mkristo mwenzie

Kuna kitu nimejifunza maana mimi nimetumikia dini mbili, nimezaliwa kwenye ukristo na nikaowa ndani ya Ukristo
Yaani kuna kipindi nilifiwa na mwanangu muhimbili, ilibidi nikamzike mkoani, yaani kufika pale kulikuwa na fingusi nyingi sana kwa waumini wenzangu,isingekuwa mama yangu kuwa anacheo kanisani hali ingekuwa mbaya zaidi, maana mwanangu alikuwa hajabatizwa alikufa akiwa na miezi tisa na alizaliwa na matatizo ya moyo

Nikaja tena kufiwa na mtoto wakati nimeshakuwa Muisilamu kwa mke mwingine, alikufa akiwa na miezi sita tumboni, yaani nilipopeleka tu habari msikitini, kila kitu walifanya wao, kuanzia kuosha mpaka kumstiri.

Najivunia kuwa Muisilamii
 
Shughuli nyingi za kiislam hazina gharama kubwa
 
Allah akbar. Kuna mambo mtatu katika uislamu yanapojitokeza hayatakiwi kucheleweshwa hata sekunde
1. Kuzika
2. Ndoa
3. Mtu anayebadilisha dini kuingia uislamu(kuslimu)
 

Ukristo ni KUYAFUATA na KUYAISHI MAFUNDISHO YA YESU! [emoji123][emoji106]
 
Upande mmoja asili yao ni chini huko kuzimu na NYINGINE ni juu huko mbinguni!!

Inawezekana kabisa wa mbinguni wakawa na vita kali sana kuliko wa ardhini!!

Ni kweli kwenye wakristo upendo umepoa sana bali ubinafsi na ulaji umejaa!!

SASA Bas

Hatuwezi wapima KWA mtihani mmoja wasomi wa kozi tofauti maishani!!

Note;-nina experience za pande zote KABISA!!
 
Unamuabudu kristo!?.. shetani hawezi kumfuata na kumpoteza mtu anayemuabudu binaadam (aliyezaliwa na mwanamke)..maana huyo kishapotea
Weka Ushahidi ndani ya Biblia Wakristo wanamuabudu Mtu!
Halafu Kambishie Mungu wako ambaye analinda Makanisa yasivunjwe sababu Jina la Mungu linatajwa Kwa Wingi!
[emoji116][emoji116]
الَّذِينَ أُخْرِجُوا مِن دِيَارِهِم بِغَيْرِ حَقٍّ إِلَّا أَن يَقُولُوا رَبُّنَا اللَّهُ ۗ وَلَوْلَا دَفْعُ اللَّهِ النَّاسَ بَعْضَهُم بِبَعْضٍ لَّهُدِّمَتْ صَوَامِعُ وَبِيَعٌ وَصَلَوَاتٌ وَمَسَاجِدُ يُذْكَرُ فِيهَا اسْمُ اللَّهِ كَثِيرًا ۗ وَلَيَنصُرَنَّ اللَّهُ مَن يَنصُرُهُ ۗ إِنَّ اللَّهَ لَقَوِيٌّ عَزِيزٌ

[ AL -HAJJ - 40 ]
Wale ambao wametolewa majumbani mwao pasipo haki, ila kwa kuwa wanasema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu! Na lau kuwa Mwenyezi Mungu hawakingi watu kwa watu, basi hapana shaka zingeli vunjwa nymba za wat'awa, na makanisa, na masinagogi, na misikiti, ambamo ndani yake jina la Mwenyezi Mungu linatajwa kwa wingi. Na bila ya shaka Mwenyezi Mungu humsaidia yule anaye msaidia Yeye. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu Mtukufu.

mungu wako kawapa Wakristo Darja La Ucha Mungu na Usomi!
[emoji116][emoji2533][emoji116][emoji2533]
۞ لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُم مَّوَدَّةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانًا وَأَنَّهُمْ لَا يَسْتَكْبِرُونَ

[ AL - MAIDA - 82 ]
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Wakristo. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao Wasomi na each Mungu, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi.

Sasa weka ayat ndani ya qur'an inayo Sena Miongoni mwa waislamu Wapo wacha Mungu na wasomi na Hawana kibri! [emoji101]

Kwa nini unajiona mjuzi zaidi ya mungu wako?? [emoji134][emoji12]

Nimeamini Msemo wa Wahenga kwamba Kafiri Hana Mkole! [emoji15]
 
Vipi urafiki wa muislam na mkristo???
Mkristo Adui YAKE ni shetani tu!
Lakini waislamu wameagizwa na Mungu wao wasiwafanye Wakristo marafiki zao!
[emoji116][emoji116]
۞ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَتَّخِذُوا الْيَهُودَ وَالنَّصَارَىٰ أَوْلِيَاءَ ۘ بَعْضُهُمْ أَوْلِيَاءُ بَعْضٍ ۚ وَمَن يَتَوَلَّهُم مِّنكُمْ فَإِنَّهُ مِنْهُمْ ۗ إِنَّ اللَّهَ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ

[ AL - MAIDA - 51 ]
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.

Sahih Muslim 2167 a
Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
Do not greet the Jews and the Christians before they greet you and when you meet any one of them on the roads force him to go to the narrowest part of it.
حَدَّثَنَا قُتَيْبَةُ بْنُ سَعِيدٍ، حَدَّثَنَا عَبْدُ الْعَزِيزِ، - يَعْنِي الدَّرَاوَرْدِيَّ - عَنْ سُهَيْلٍ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ، أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ لاَ تَبْدَءُوا الْيَهُودَ وَلاَ النَّصَارَى بِالسَّلاَمِ فَإِذَا لَقِيتُمْ أَحَدَهُمْ فِي طَرِيقٍ فَاضْطَرُّوهُ إِلَى أَضْيَقِهِ ‏"‏ ‏.‏
Reference : Sahih Muslim 2167a
In-book reference : Book 39, Hadith 16
 
Koran
5;51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki...... 9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani....
 
Vipi urafiki wa muislam na mkristo???
Koran
5;51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki...... 9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani....
 
Haya mambo ya dini ,kabila ,ukanda achaneni nayo yanaleta inferiority complex baina ya watu .

Sio mambo mazuri kabisa ndugu zangu.
 
Koran
5;51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki...... 9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani....
 
Muislamu wa wa tandahimba anaelima korosho anaweza kuoa binti wa jakaya kikwete kisa wote ni waislamu?
 
Haya mambo ya dini ,kabila ,ukanda achaneni nayo yanaleta inferiority complex baina ya watu .

Sio mambo mazuri kabisa ndugu zangu.
Koran
5;51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki...... 9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…