Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,947
Kuna kitu nimejifunza maana mimi nimetumikia dini mbili, nimezaliwa kwenye ukristo na nikaowa ndani ya Ukristo
Yaani kuna kipindi nilifiwa na mwanangu muhimbili, ilibidi nikamzike mkoani, yaani kufika pale kulikuwa na fingusi nyingi sana kwa waumini wenzangu,isingekuwa mama yangu kuwa anacheo kanisani hali ingekuwa mbaya zaidi, maana mwanangu alikuwa hajabatizwa alikufa akiwa na miezi tisa na alizaliwa na matatizo ya moyo
Nikaja tena kufiwa na mtoto wakati nimeshakuwa Muisilamu kwa mke mwingine, alikufa akiwa na miezi sita tumboni, yaani nilipopeleka tu habari msikitini, kila kitu walifanya wao, kuanzia kuosha mpaka kumstiri.
Najivunia kuwa Muisilamii