Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Sina haja ya kuandika maneno mengi itoshe kusema siku ya ufunguzi wa African football league tarehe 20.10.2023, Simba SC wanaenda kupigwa kipigo cha aibu sana.
Wachezaji wengi wa Simba SC wana vitambi na ni goigoi wa kutupwa.
Watanzania jiandaeni kwa aibu ya kitaifa inaenda kuletwa na Simba SC pale kwa Mkapa Stadium.
Wembe ndio huo unaenda kuwakata na wao watakata mauno.
😂😂😂😂 Thimba Thimba