Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Ijumaa itaongea yote Simba SC Ina wachezaji wenye vibuyu kwenye matumbo na viuno vyao. mjiandae kuwakodishia motor za viuno na matumbo hapo tarehe 20 October 2023
Tatu atakuwepo kuchezesha mechiSina haja ya kuandika maneno mengi itoshe kusema siku ya ufunguzi wa African football league tarehe 20.10.2023, Simba SC wanaenda kupigwa kipigo cha aibu sana.
Wachezaji wengi wa Simba SC wana vitambi na ni goigoi wa kutupwa.
Watanzania jiandaeni kwa aibu ya kitaifa inaenda kuletwa na Simba SC pale kwa Mkapa Stadium.
Wembe ndio huo unaenda kuwakata na wao watakata mauno.
ππππ Thimba Thimba
AahaaaHivi kwanini Yanga mnahangaika kiasi hiki na huyu mbabe wenu?
Naona hangover ya kupigwa na Ihefu bado haijawatoka,huenda unaongea kinyume ugoigoi na vitambi vya wachezaji wa Yanga ndo vilisababisha IHEFU akapiga kwenye mshono hivyo mnahangaika kupunguza machungu kupitia mechi ya AFL ya Simba versus Al Ahly.Sina haja ya kuandika maneno mengi itoshe kusema siku ya ufunguzi wa African football league tarehe 20.10.2023, Simba SC wanaenda kupigwa kipigo cha aibu sana.
Wachezaji wengi wa Simba SC wana vitambi na ni goigoi wa kutupwa.
Watanzania jiandaeni kwa aibu ya kitaifa inaenda kuletwa na Simba SC pale kwa Mkapa Stadium.
Wembe ndio huo unaenda kuwakata na wao watakata mauno.
ππππ Thimba Thimba
Upe muda wakati ijumaa sio mwakaniIjumaa itaongea yote Simba SC Ina wachezaji wenye vibuyu kwenye matumbo na viuno vyao. mjiandae kuwakodishia motor za viuno na matumbo hapo tarehe 20 October 2023
Uzalendo kwanza.. Sio ushabiki maandazi.. Asante mtani[emoji1548]Aahaaa
All the best mtani
Mwenye nguvu ashinde
Sina haja ya kuandika maneno mengi itoshe kusema siku ya ufunguzi wa African football league tarehe 20.10.2023, Simba SC wanaenda kupigwa kipigo cha aibu sana.
Wachezaji wengi wa Simba SC wana vitambi na ni goigoi wa kutupwa.
Watanzania jiandaeni kwa aibu ya kitaifa inaenda kuletwa na Simba SC pale kwa Mkapa Stadium.
Wembe ndio huo unaenda kuwakata na wao watakata mauno.
ππππ Thimba Thimba
Ww unataka viuno vyao unashida navyo?Ijumaa itaongea yote Simba SC Ina wachezaji wenye vibuyu kwenye matumbo na viuno vyao. mjiandae kuwakodishia motor za viuno na matumbo hapo tarehe 20 October 2023
Sema nini?kikubwa uhaiSina haja ya kuandika maneno mengi itoshe kusema siku ya ufunguzi wa African football league tarehe 20.10.2023, Simba SC wanaenda kupigwa kipigo cha aibu sana.
Wachezaji wengi wa Simba SC wana vitambi na ni goigoi wa kutupwa.
Watanzania jiandaeni kwa aibu ya kitaifa inaenda kuletwa na Simba SC pale kwa Mkapa Stadium.
Wembe ndio huo unaenda kuwakata na wao watakata mauno.
ππππ Thimba Thimba
Sina haja ya kuandika maneno mengi itoshe kusema siku ya ufunguzi wa African football league tarehe 20.10.2023, Simba SC wanaenda kupigwa kipigo cha aibu sana.
Wachezaji wengi wa Simba SC wana vitambi na ni goigoi wa kutupwa.
Watanzania jiandaeni kwa aibu ya kitaifa inaenda kuletwa na Simba SC pale kwa Mkapa Stadium.
Wembe ndio huo unaenda kuwakata na wao watakata mauno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Thimba Thimba
Ijumaa itaongea yote Simba SC Ina wachezaji wenye vibuyu kwenye matumbo na viuno vyao. mjiandae kuwakodishia motor za viuno na matumbo hapo tarehe 20 October 2023
Daah hi aibu yan watu wanagem na azam ila wapo bze na simba π€£π€£Sina haja ya kuandika maneno mengi itoshe kusema siku ya ufunguzi wa African football league tarehe 20.10.2023, Simba SC wanaenda kupigwa kipigo cha aibu sana.