Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Wizara ya Ujenzi ina bajeti kubwa kutokana na miradi yake mingi.
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa ana kazi kubwa mbele kuhusu mikataba na tenda atakazokuta wizarani.
Namaanisha zile zenye harufu ya upendeleo au rushwa. Sasa itabidi achague kulindana au kutenda haki Kama mzalendo bila kuangalia sura na nani anahusika hapa na pale.
Je ana ubavu wa kuyafanya hayo?