sasa unakimbilia kufanya comparative analysis ya uchumi wakati uchumi wenyewe huujui. shame on you.
mchumi yeyote akija kukutana na sentensi yako ya all factors are in favour of Tanzania ataishia kusoma hapo aende zake. The rest ya andiko itakuwa upuuzi.
kaongeze maarifa yako kwenye purchasing power parity, domestic household consumption, labor productivity and innovation plus currency value flactuations ndio uje kujenga hoja zako. Unadhani kuwa na resources ndo umemaliza bwana mkubwa???
nilivyoona unabeza elimu kama factor ya gdp per capita nilijua kabisa hamna kazi hapa. Someni jamani, hatutafika walipofika wenzetu kama hatusomi. Kujituma na kufanya kazi kwa juhudi bila elimu hakutaleta matokeo makubwa kama ya wenzetu waliosoma. Kama wewe hukusoma wekeza kwenye elimu za watoto wako bwana mkubwa.
Uwe na jumapili njema.
Hakuna sehemu nimebeza elimu. In fact, wewe ndio unatakiwa usome. Ni vilaza watupu wanaodai kutoa fungu la kumi ndio kunafanya investments zako zilipe. Hiyo ni mindset ya mbumbumbu.
Kwenye uchumi wako uliosomea wapi sijui kuna sehemu ulifundishwa utoe fungu la kumi?
Japanese wana "Kairetsu" sisi sijui tuna nini kwenye model ya uchumi wetu.
Hakuna natural factors za kufanya Japan iizidi Tanzania kiuchumi, hazipo. Hizo factors ulizokaririshwa zote ni uvivu wa Tanzania kutokuwa nazo, zote zinatengenezwa:
Wewe mchumi uchwara ukifanya adjustment ya GDP per capita na PPP unapata kuwa Mtanzania ana hela kuzidi Mjapani tofauti na nilivyosema awali bila kuzingatia PPP?
Domestic household consumption inavuliwa baharini kwamba kama huna bahari basi hauna? Nani kaikataza Tanzania isiwe nayo kubwa kama Japan.
Labour productivity nani kaikataza Tanzania kuwa more productive kuliko Japan? Watanzania wana mkono mmoja mmoja kila mtu, wana uoni hafifu?
Productivity pekee tunapowazidi Japanese ipo makanisani kwenye kupiga yowe na kudai fungu la kumi. Na misikitini kula nyama ya ngamia za msaada na tende.
Nilijua tu utaleta sababu za kipuuzi, sababu ambazo hatuna kwa uvivu wetu. Japan wanakosa almasi, dhahabu, Tanzanite, chuma, makaa ya mawe na gesi sio kwa uzembe wao. Wanakosa ardhi ya kilimo, wanakosa mbuga za utalii na kufugia sio kwa uzembe wao bali nature. Ila bado wanatuzidi.
Wewe unakuja kulialia eti wana elimu nzuri, sasa aliyetufanya tuwe vilaza nani? Ukiwa na resources si inabidi uzitumie kuboresha hiyo elimu, wao sasa hizo resources za maana hawana.
Badala ya kunipinga kama ulivyotaka sasa umedhihirisha point yangu.