Hiyo no. 1 tunywe nini?THINGS TO STOP BUYING IF ACTUALLY YOU SAVE MONEY.
1. Bottled water.
2.Dairy Coffee.
3.Fast Fassion.
4.Pre cut and packadge fod.
5.Un used sabscriptions.
6.Tredy Gadgets
7. Brand name everything.
8. Take sut and derivery.
9.Extendeed waranties.
10. Impulse purchases.
shangaa na wewe, kuna kujinyima na kuna kuteseka. Dsm hapo saivi gari sio starehe ni basic need. Huwezi kujinyima upande daladala kila siku uchelewe kazini na kwenye madili mbalimbali kisa unafanya saving, Mwisho wa siku hata hio kazi na madili hautapata kabisa. Ukisema utapanda bolt na boda, gharama yake na kuhudumia gari almost ni the same. Kuna tofauti ndogo sana kati ya kujinyima na kujitesa. Na hio tofauti ndio mipango, Ukijinyima bila mipango unajitesa tu.Hiyo no. 1 tunywe nini?
Kuna vitu vingi unaacha ili usave, unajitesa miaka kibao kwa lengo moja sijui ujenge au wereva, hujui hata ni lini itafika au utafanikisha! Unawez ajitesa na ukaishia kutuachia tuiendee bar we ukifukiwa!🙌🏾shangaa na wewe, kuna kujinyima na kuna kuteseka. Dsm hapo saivi gari sio starehe ni basic need. Huwezi kujinyima upande daladala kila siku uchelewe kazini na kwenye madili mbalimbali kisa unafanya saving, Mwisho wa siku hata hio kazi na madili hautapata kabisa. Ukisema utapanda bolt na boda, gharama yake na kuhudumia gari almost ni the same. Kuna tofauti ndogo sana kati ya kujinyima na kujitesa. Na hio tofauti ndio mipango, Ukijinyima bila mipango unajitesa tu.
maisha ndio haya haya, fanya tu kinachowezekana.Kuna vitu vingi unaacha ili usave, unajitesa miaka kibao kwa lengo moja sijui ujenge au wereva, hujui hata ni lini itafika au utafanikisha! Unawez ajitesa na ukaishia kutuachia tuiendee bar we ukifukiwa!🙌🏾
Wachungaji wa makanisa ya kilokole na nyinyi hamchezi mbali ili tuendelee kuwalisha na maneno yenu ya ulaghai😁kama somo halina Malimbuko na Fungu la kumi, hata hayo mema unayodhani utayafanya ukijinyima unaweza usiyapate. ukaishi kwa mateso na bado hakuna cha maana unachokifanya, kila ukipata hela ni BIBI kameza shoka. Mpeni Mungu yaliyo ya Mungu.
Jamanii🤣🤣🙌🏾Wachungaji wa makanisa ya kilokole na nyinyi hamchezi mbali ili tuendelee kuwalisha na maneno yenu ya ulaghai😁
Japan GDP per capita $35,700 na Taiwan GDP per capita $42,100 na wote hao hawatoi fungu la kumi kabisa.kama somo halina Malimbuko na Fungu la kumi, hata hayo mema unayodhani utayafanya ukijinyima unaweza usiyapate. ukaishi kwa mateso na bado hakuna cha maana unachokifanya, kila ukipata hela ni BIBI kameza shoka. Mpeni Mungu yaliyo ya Mungu.
umejaribu ku consider factors zinazofanya variance in GDP per capita baina yetu sisi na hizo nchi tajwa..?Japan GDP per capita $35,700 na Taiwan GDP per capita $42,100 na wote hao hawatoi fungu la kumi kabisa.
Tanzania wanaotoa fungu la kumi wengi zaidi ya hizo nchi ila GDP per capita ni $1,362. Hiyo ni exactly kiwango cha chini cha bajeti ya kufuga mbwa mmoja nchini Japan, ndio wastani wa pesa anayopata mbongo mwaka mzima.
Kataa fungu la kumi ni utapeli,Bora uwape wahitaji direct msaada wako utakuwa sehemu salama,au nasema uongo dada YANGU😁Jamanii🤣🤣🙌🏾
Dahh tatizo siku hizi hatuelewi uongo ni upi na ukweli ni upi! Ila shuhuda nyingin zinasema ukitoa hilo 10% utafanikiwa zaidi!🫢Kataa fungu la kumi ni utapeli,Bora uwape wahitaji direct msaada wako utakuwa sehemu salama,au nasema uongo dada YANGU😁
All factors are in favor of Tanzania. Japan mazao yao makuu ni mchele, viazi na kabeji. Sisi tuna korosho, kahawa, vanilla, katani, ufuta, mbao, parachichi na mazao chungu nzima yenye hela mara dufu kuliko mazao yao.umejaribu ku consider factors zinazofanya variance in GDP per capita baina yetu sisi na hizo nchi tajwa..?
kama comperative analysis unafanya, circe it back to cover all angles ili comparison iwe standard, wabongo wengi mna hoja nzuri ila hazina mashiko, mnachagua angle zinazowafurahisha tu.
sasa unakimbilia kufanya comparative analysis ya uchumi wakati uchumi wenyewe huujui. shame on you.All factors are in favor of Tanzania. Japan mazao yao makuu ni mchele, viazi na kabeji. Sisi tuna korosho, kahawa, vanilla, katani, ufuta, mbao, parachichi na mazao chungu nzima yenye hela mara dufu kuliko mazao yao.
Hawana mafuta, hawana madini hata chuma tu hawana kasoro limestone pekee ya kutengeneza simenti. Hawana misitu, mbuga za wanyama, mapori ya kulima, eneo la ufugaji wala lolote.
Ukichukua nchi yao ukawaleta huku na sisi ukatupeleka kule hata ndala tu hatuvai. Ila tunatoa fungu la kumi, wao hawatoi.
Hizo factors unazosema ni kujificha kwenye ujinga. Utakuja kutaja elimu yao, as if elimu wanaiokota ardhini kama sisi tunavyookota dhahabu.
Hakuna sehemu nimebeza elimu. In fact, wewe ndio unatakiwa usome. Ni vilaza watupu wanaodai kutoa fungu la kumi ndio kunafanya investments zako zilipe. Hiyo ni mindset ya mbumbumbu.sasa unakimbilia kufanya comparative analysis ya uchumi wakati uchumi wenyewe huujui. shame on you.
mchumi yeyote akija kukutana na sentensi yako ya all factors are in favour of Tanzania ataishia kusoma hapo aende zake. The rest ya andiko itakuwa upuuzi.
kaongeze maarifa yako kwenye purchasing power parity, domestic household consumption, labor productivity and innovation plus currency value flactuations ndio uje kujenga hoja zako. Unadhani kuwa na resources ndo umemaliza bwana mkubwa???
nilivyoona unabeza elimu kama factor ya gdp per capita nilijua kabisa hamna kazi hapa. Someni jamani, hatutafika walipofika wenzetu kama hatusomi. Kujituma na kufanya kazi kwa juhudi bila elimu hakutaleta matokeo makubwa kama ya wenzetu waliosoma. Kama wewe hukusoma wekeza kwenye elimu za watoto wako bwana mkubwa.
Uwe na jumapili njema.