Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mkuu Kiranga unaweza kutupa mifano ya nchi ambazo zinaongozwa na wagombea binafsi?
Watu wengine tuna wasi wasi kama Mzee Mtei, lakini tukipata mifano hai iatatusaidia.
Suala hapa sio nchi kuongozwa na mgombea binafsi. Anayeongoza nchi ni nani bado linabaki kuwa uamuzi wa wananchi regardless. Mgombea binafsi akifanikiwa kuchaguliwa na wananchi anakuwa si mgombea binafsi tena huyo, anakuwa rais aliyechaguliwa na wananchi.
Suala ni mgombea binafsi kupata nafasi ya kugombea urais. Kwa hiyo swali zuri zaidi lingekuwa kuna mifano gani ya nchi ambazo zinaruhusu wagombea binafsi kugombea urais, mifano bwerere. Marekani ni moja. Ross Perot alikuwa mgombea binafsi, na hakupata kuwa rais, lakini alisaidia sana kugawanya kura za George Herbert Walker Bush mpaka Clinton akapata ushindi.
Kukubali kuwa na mgombea binafsi hakumaanishi ni lazima ashinde na kuwa rais. Nyerere made a very poignant point kwamba, suala la vyama ni suala la strategy tu. Kwamba mtu anamua kwamba katika kazi ngumu kama ya kuzunguka nchi nzima kuomba kura kwa wananchi wote, ni rahisi kufanya hivyo kama ana platform na machinery ya chama kumsaidia, watu wanakijua chama, wanajua rekodi ya chama, wanajua itikadi ya chama, wanajua katiba ya chama, wanaweza kum judge vizuri zaidi katika context ya chama.
I am looking for the audio/video of Nyerere's argument, which is the same as my argument.The East African recorded a summary of his stand.
See http://www.theeastafrican.co.ke/news/-/2558/673464/-/qxq6k3z/-/index.html
On independent candidacy, Mwalimu criticised the law that did not allow a private candidate to stand for presidency.Mwalimu Nyerere said it was a basic right of any Tanzanian to vote for a leader, just as it was a right for one to be voted for.And, so long as joining a political party is not mandatory, one may opt to seek to be elected a president even if is not a member of any party just as is the case for anyone who does not belong to any party to vote for anyone.
Today, these are political issues haunting the government, where funding for elections campaign has been marred by allegations of corruption and lack of transparency.In a landmark ruling in 2006, Tanzania's high court said that independent political candidates could run for national office.
The ruling by a three-judge panel reversed a constitutional amendment enacted by parliament, which required that political candidates belong to a party.In its ruling, the court said the amendment placed "unnecessary and unreasonable restrictions on the fundamental rights of citizens.
Kwa hiyo mgombea wa urais ana advantage kugombea akiwa mgombea wa chama.
Ndiyo maana CCM imetuletea unknowns na within 2 years wamekuwa marais wa Tanzania. Nani ambaye hakuwa mfuatiliaji wa karibu wa mambo ya siasa alimjua Ally Hassan Mwinyi by 1982? Mwaka 1995 watanzania wengi walikuwa wanasema walimjua vizuri Ken Mkapa, mchezaji wa Yanga, kuliko Ben Mkapa. Lakini watu hawa walishinda na kuwa marais kwa sababu ya chama.
Sasa clearly there is an advantage katika kutumia chama.
Lakini hii ni advantage tu. Si kitu fundamental.
Ni kama kusema watu wote wana haki ya kusafiri kutoka Dar kwenda Bagamoyo, kikatiba. (Bagamoyo = urais, safari = kugombea)
Eboo, mtu akisema hataki gari, anataka kutembea kwa mguu, awe na haki ya kutembea kwa mguu
Halafu ukasema watakaoruhusiwa kusafiri ni watakaokwenda kwa magari tu (magari = vyama).
This is not a fundamental part of the question. As long as you constitutionally agree people over 18 and of sound mind have a right to run for office, you can't start imposing secondary restrictions that they must have parties.
Utakuwa una ji contradict kama yule anayesema kawapa watu wote haki ya kwenda Bagamoyo, lakini watakaoweza kwenda ni wale watakaokwenda kwa magari tu.
Makabwela wasio na magari wala nauli wataona umetaka kuwatenga.
Sie tusio na vyama tutaona hamtaki tugombee uongozi.
Hizi ndizo habari za kupangiwa rais na mtu mmoja hizi.