Mtei akosoa mgombea binafsi kuruhusiwa kuwania urais

Mtei akosoa mgombea binafsi kuruhusiwa kuwania urais

Mkuu Kiranga unaweza kutupa mifano ya nchi ambazo zinaongozwa na wagombea binafsi?

Watu wengine tuna wasi wasi kama Mzee Mtei, lakini tukipata mifano hai iatatusaidia.

Suala hapa sio nchi kuongozwa na mgombea binafsi. Anayeongoza nchi ni nani bado linabaki kuwa uamuzi wa wananchi regardless. Mgombea binafsi akifanikiwa kuchaguliwa na wananchi anakuwa si mgombea binafsi tena huyo, anakuwa rais aliyechaguliwa na wananchi.

Suala ni mgombea binafsi kupata nafasi ya kugombea urais. Kwa hiyo swali zuri zaidi lingekuwa kuna mifano gani ya nchi ambazo zinaruhusu wagombea binafsi kugombea urais, mifano bwerere. Marekani ni moja. Ross Perot alikuwa mgombea binafsi, na hakupata kuwa rais, lakini alisaidia sana kugawanya kura za George Herbert Walker Bush mpaka Clinton akapata ushindi.

Kukubali kuwa na mgombea binafsi hakumaanishi ni lazima ashinde na kuwa rais. Nyerere made a very poignant point kwamba, suala la vyama ni suala la strategy tu. Kwamba mtu anamua kwamba katika kazi ngumu kama ya kuzunguka nchi nzima kuomba kura kwa wananchi wote, ni rahisi kufanya hivyo kama ana platform na machinery ya chama kumsaidia, watu wanakijua chama, wanajua rekodi ya chama, wanajua itikadi ya chama, wanajua katiba ya chama, wanaweza kum judge vizuri zaidi katika context ya chama.

I am looking for the audio/video of Nyerere's argument, which is the same as my argument.The East African recorded a summary of his stand.

See http://www.theeastafrican.co.ke/news/-/2558/673464/-/qxq6k3z/-/index.html

On independent candidacy, Mwalimu criticised the law that did not allow a private candidate to stand for presidency.Mwalimu Nyerere said it was a basic right of any Tanzanian to vote for a leader, just as it was a right for one to be voted for.And, so long as joining a political party is not mandatory, one may opt to seek to be elected a president even if is not a member of any party just as is the case for anyone who does not belong to any party to vote for anyone.

Today, these are political issues haunting the government, where funding for elections campaign has been marred by allegations of corruption and lack of transparency.In a landmark ruling in 2006, Tanzania's high court said that independent political candidates could run for national office.

The ruling by a three-judge panel reversed a constitutional amendment enacted by parliament, which required that political candidates belong to a party.In its ruling, the court said the amendment placed "unnecessary and unreasonable restrictions on the fundamental rights of citizens.

Kwa hiyo mgombea wa urais ana advantage kugombea akiwa mgombea wa chama.

Ndiyo maana CCM imetuletea unknowns na within 2 years wamekuwa marais wa Tanzania. Nani ambaye hakuwa mfuatiliaji wa karibu wa mambo ya siasa alimjua Ally Hassan Mwinyi by 1982? Mwaka 1995 watanzania wengi walikuwa wanasema walimjua vizuri Ken Mkapa, mchezaji wa Yanga, kuliko Ben Mkapa. Lakini watu hawa walishinda na kuwa marais kwa sababu ya chama.

Sasa clearly there is an advantage katika kutumia chama.

Lakini hii ni advantage tu. Si kitu fundamental.

Ni kama kusema watu wote wana haki ya kusafiri kutoka Dar kwenda Bagamoyo, kikatiba. (Bagamoyo = urais, safari = kugombea)

Eboo, mtu akisema hataki gari, anataka kutembea kwa mguu, awe na haki ya kutembea kwa mguu

Halafu ukasema watakaoruhusiwa kusafiri ni watakaokwenda kwa magari tu (magari = vyama).

This is not a fundamental part of the question. As long as you constitutionally agree people over 18 and of sound mind have a right to run for office, you can't start imposing secondary restrictions that they must have parties.

Utakuwa una ji contradict kama yule anayesema kawapa watu wote haki ya kwenda Bagamoyo, lakini watakaoweza kwenda ni wale watakaokwenda kwa magari tu.

Makabwela wasio na magari wala nauli wataona umetaka kuwatenga.

Sie tusio na vyama tutaona hamtaki tugombee uongozi.

Hizi ndizo habari za kupangiwa rais na mtu mmoja hizi.
 
Prove Me Wrong

Marekani wanaruhusu mgombea binafsi, rejea historia ya uchaguzi wa Bill Clinton kuwa rais mara ya kwanza. Kuna mtu anaitwa Ross Perot aligombea kama mgombea binafsi.
 
Mzee umechemsha.Mgombea binafsi ndo itakuwa habari ya mjini 2015 tumeshachoka na hii mivyama yenu iliyojaa unafiki,fitina,majungu,umafia,ushirikina,umbea,rushwa,ufisadi na kila aina ya upuuzi.Mtatia akili jinsi jeshi la mtu mmoja mmoja litakavyoburuza mijivyama yenu lazima akili ziwakae sawa.Safi sana.
 
huyu mzee kuna umuhimu sasa kumuweka mbali na vyombo vya habari maana
 
Marekani wanaruhusu mgombea binafsi, rejea historia ya uchaguzi wa Bill Clinton kuwa rais mara ya kwanza. Kuna mtu anaitwa Ross Perot aligombea kama mgombea binafsi.

PEROT alikuwa THIRD PATY called REFORM PARTY chama hicho kilikuwa registered lakini sio nchi nzima kilikuwa registered kwenye state Moja... hakikuwepo states zingine ndio Maana kwingine walikiita INDEPENDENT PARTY; Lakini kilikuwa na ITIKADI
 
Reform Party was established in 1995. You are talking about the 1996 election.

Regarding the 1992 election

Ross Perot - Wikipedia, the free encyclopedia

On February 20, 1992, he appeared on CNN's Larry King Live and announced his intention to run as an independent if his supporters could get his name on the ballot in all fifty states. With such declared policies as balancing the federal budget, a firmpro-choice stance on abortion, expansion of the war on drugs, ending outsourcing of jobs, belief in protectionism on trade, advocating the Environmental Protection Agency and enacting electronic direct democracy via "electronic town halls," he became a potential candidate and soon polled roughly even with the two major party candidates.[SUP][23][/SUP]

independent = private candidate

Angalia kuna independent candidates wasio na vyama waliotaka kugombea urais 2012. Sharti pekee ni kuwa upate ballot kwenye states zote, sharti ambalo sisi tunalo hata kwa wagombea wa vyama.

Kwa hiyo Marekani inaruhusu independent/ private candidates

Ona

2012 Presidential Candidates (P2012)
 
Reform Party was established in 1995. You are talking about the 1996 election.

Regarding the 1992 election

Ross Perot - Wikipedia, the free encyclopedia

independent = private candidate

Angalia kuna independent candidates wasio na vyama waliotaka kugombea urais 2012. Sharti pekee ni kuwa upate ballot kwenye states zote, sharti ambalo sisi tunalo hata kwa wagombea wa vyama.

Kwa hiyo Marekani inaruhusu independent/ private candidates

Ona

2012 Presidential Candidates (P2012)

F.Y.I Ross Perot alikuwa ni BILLIONEA na Republican alishindana nao sababu ya DEFICIT kwahiyo alikuwa an-run kwa platform ya kufix DEFICIT; ANTI-NAFTA

Sasa wakati wa Campaign; President Bush came with some dirty laundry about his Daughter who was supposed to get Married sometimes that year... BUSH akasema ukirun I will expose them dirty secrets... sasa Ross Perot wanted to meet with BUSH but he makes it public and BUSH back down; and he sent James Baker... But that did not help and Ross Perot akasimamisha campaign yake hiyo ilikuwa sept na nov ndio election...

But now that he has re-emerged and leaders of the volunteer movement that put his name on the Presidential ballot in all 50 states are assembling here on Monday, his plan has been thrust into the political limelight, making it an issue that President Bush and Gov. Bill Clinton will have to grapple with as long as Mr. Perot remains a factor in the Presidential
equation.

THE 1992 CAMPAIGN: Ross Perot; Perot Plan to Attack Deficit Thrusts Issue at Opponents - New York Times
 
Kiranga , wikipedia sio eneo rasmi la kuweza kufanya reference ......taarifa zake sio rasmi .
 
All the information you have provided is irrelevant to the question.

The question was about private candidates. The good people of JF, represented by the cautiously inquisitive Asamwa wanted an example of a country that allows private/ independent candidates to run for president.

I provided the example of the USA, specifically in the 1992 election.

Swali lilikuwa, kuna nchi inaruhusu private candidate? Jibu ni ndiyo, USA.

Hizi habari nyingine zinabadilishaje ukweli kwamba USA inaruhusu private/ independent candidate?

You are providing immaterial and impertinent literature, you might as well be giving us the history of the American Civil War.

Marekani inaruhusu au hairuhusu private/ independent candidates? Hilo ndil swali.

Jibu nimetoa, inaruhusu, wengine mpaka wame run uchaguzi wa 2012, nimeweka link. Unabishia hilo au unaenda off tangent tu ilimradi na wewe uandike?
 
Last edited by a moderator:

Hakuwa Private Candidate perse... umeona alizunguka state zote 50 kuweka jina lake? sababu tu ni billioner; Donald Trump 2012 alishindwa sababu unatakiwa uanze 2 years prior na lazima ufuate chama kilichosajiliwa state moja
 
Kiranga , wikipedia sio eneo rasmi la kuweza kufanya reference ......taarifa zake sio rasmi .

Naam.

Hata JF si eneo rasmi la kuweza kufanya reference. Nipe taarifa rasmi zinazopinga hizo zisizo rasmi za Wikipedia.

Taarifa ipi specific unaitilia shaka tukutafutie source zaidi.

Wikipedia ni chanzo kizuri kwa kufanya uchunguzi, kwa sababu hata kama yenyewe si rasmi, ina footnotes zinazolink pengine.

Kwa mfano, ukiona shaka kwamba Ross Perot hakutangaza kuwa atakuwa mgombea binafsi kupitia Larry King Live, unaweza ku google "Ross Perot Larry King Live" ukatafuta Youtube video uone mwenyewe.

Au utasema You Tube si source rasmi napo?

Wikipedia is just the start of this discussion, not the end.

Do not act like I am proclaiming it to be the end. Are you disputing something? Do not give me the lazy "Wikipedia is not authoritative" argument. This is not a term paper. Show me where the information is wrong.
 
Hakuwa Private Candidate perse... umeona alizunguka state zote 50 kuweka jina lake? sababu tu ni billioner; Donald Trump 2012 alishindwa sababu unatakiwa uanze 2 years prior na lazima ufuate chama kilichosajiliwa state moja

Hakuwa private candidate per se maana yake nini? One is either a private candidate or not. Unakuwa kama yule mtu aliyesema "huyu mama ana mimba kidogo tu", alaa, ama ana mimba au hana, hakuna "mimba kidogo tu".

Ukisema kwamba ameshindwa kuwa private candidate kwa sababu hakuweza kuzunguka states 50 kupata support, tayari ushakubali kwamba Marekani kuna process ya kuweza kuwa private candidate, which is the question here.

Kwa wale mnao snob Wikipedia angalieni this JSTOR paper on the subject.

JSTOR: An Error Occurred Setting Your User Cookie

Bado mnabisha US hairuhusu private candidate au mnataka kusema nini?
 
Kwanza kabisa ukisema kwamba ameshindwa kuwa private candidate kwa sababu hakuweza kuzunguka states 50 kupata support, tayari ushakubali kwamba Marekani kuna process ya kuweza kuwa private candidate, which is the question here.

Kwa wale mnao snob Wikipedia angalieni this JSTOR paper on the subject.

JSTOR: An Error Occurred Setting Your User Cookie

Bado mnabisha US hairuhusu private candidate au mnataka kusema nini?

Hapana nimekuambia alijitoa Mapema July kwahiyo akawa hafanyi CAMPAIGN sababu ya Issue niliyokuambia; sasa kwasababu ilikuwa mapema Uchaguzi ni Nov na Unajua alikuwa bado hajaanza chaguzi za hicho chama chake ili apate DELEGATES; akaamua kwenda kujirejister state zilizobaki kilikuwa rejistered only in TEXAS... ili awe kwenye BALLOT BOX

Yeah bado nabisha hairushusu Private Candidate Ungekuta hadi Congress Members --- KATIBA yao Hairuhusu ila kuna technicality chama State unaweza ukakifanya kiwe National kwahiyo wanakiita Independent just because hakiko states zingine... USA kila CHAMA lazima kilwe na ITIKADI
 
George Washington was an independent candidate

Wiki ya Independent candidacy na nchi zinazoruhusu ipo hapa

Independent (politician) - Wikipedia, the free encyclopedia

Bado unabisha US hairuhusu Private/ independent candidate?
 
Back
Top Bottom