Sio tu Buzuruga, NMB matawi yote yako hivyo, nilienda tawi lao la pale kariakoo kuna madirisha matano tellers waliokuwa dirishani wawili wengine unawaona mara wameingia mara wametoka, tena bora tellers wa kiume kdg afadhali lkn wakike ndio kabisa hawakai dirishani na hata akikaa mda wote yupo na simu.
Pia wana majibu ya hovyo sn yanayokera hasa tellers wa kike, nilienda saa 9 nikaondoka saa 11:30 mstari tulikuwa watu kama 10 tu, mteja mmoja anahudumiwa dk 30 na km atakuwa na pesa nyingi za ku deposit au ku withdraw basi ndio mtakesha hapo.
Huwa najiuliza hivi hawa wakubwa pale NMB hawaoni au kusikia malalamiko ya wateja wao? Au ndio wanajiaminisha kwamba wanapendwa sana na wateja?
Lakini pia sisi watanzania sijui kwanini hatupendi kujituma kazini, tena bora wa kiume lkn wakike ndio kabisa hawapendi kufanya kazi kabisa na umkute mwenye ujauzito ndiyo kabisa, ni wasumbufu sn.