Mteja azimia NMB Buzuruga, ni baada ya kukaa kwenye foleni masaa manne

NMB wafanye maboresho hasa kwenye madirisha ya kutolea fedha. Mfano Benki inakuwa madirisha matano lakini yanayofanya kazi ni madirisha mawili tu?. Kwanini?.
ATM, NMB MKONONI, NMB WAKALA, MASTERCARD ON POS.
 
Na umeandika..."katika hali isiyokuwa ya kawaida"...!Unaanzaje kuanguka kibwegebwege?Uzembe na uvivu!
 
CRDB kwenda pale miaka ile hela yangu ya kigeni kuitoa ilibidi nikae interview na meneja.
NBC pale sokoine drive nshapiga sana foleni na kuambiwa sijafata utaratibu nikarudidi foleni tena mpk kupata hela nilikoma.
Nikafunga acc zote mpk leo
 
ukipata muda kesho pita Buzuruga mkuu
Sio tu Buzuruga, NMB matawi yote yako hivyo, nilienda tawi lao la pale kariakoo kuna madirisha matano tellers waliokuwa dirishani wawili wengine unawaona mara wameingia mara wametoka, tena bora tellers wa kiume kdg afadhali lkn wakike ndio kabisa hawakai dirishani na hata akikaa mda wote yupo na simu.

Pia wana majibu ya hovyo sn yanayokera hasa tellers wa kike, nilienda saa 9 nikaondoka saa 11:30 mstari tulikuwa watu kama 10 tu, mteja mmoja anahudumiwa dk 30 na km atakuwa na pesa nyingi za ku deposit au ku withdraw basi ndio mtakesha hapo.

Huwa najiuliza hivi hawa wakubwa pale NMB hawaoni au kusikia malalamiko ya wateja wao? Au ndio wanajiaminisha kwamba wanapendwa sana na wateja?

Lakini pia sisi watanzania sijui kwanini hatupendi kujituma kazini, tena bora wa kiume lkn wakike ndio kabisa hawapendi kufanya kazi kabisa na umkute mwenye ujauzito ndiyo kabisa, ni wasumbufu sn.
 
Nafikiri Benki Kuu walitazame hili hususani hizi Benki kubwa yaani unakuta Benki Ina madirisha Saba ila teller wawili na foleni ni kubwa Huwa najiuliza hizi hela tunagaiwa au niza kwetu
Nimecheka Sana , hyo phrase ya mwisho 😊
 
Mwanamke hafai kumpa kazi ya kuumiza kichwa , ndo wako hvyo , hao kazi Yao ni kutotoa na kupokea wageni
 
Nichukue nafasi hii kuwapongeza NMB tawi la NGUDU wilayani Kwimba kiukweli mnajitahidi sana kutuhudumia na kutufanya tujisikie kweli mnatuhudumia kiroho safi mnaupiga mwingi hapo [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Duuuh sio pouw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…